TFF yaufungia Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora

TFF yaufungia Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
447
Reaction score
623
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora kutumika kwenye michezo ya ligi kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu.

TFF imeziagiza timu zinazotumia uwanja huo kutumia uwanja mwingine kama kanuni zinavyoelekeza.

Hata hivyo siyo mara ya kwanza dimba hilo kufungiwa > TFF yaufungulia Uwanja wa Tabora United (Ali Hassan Mwinyi) kwa michezo ya Ligi baada ya Marekebisho


1770707805919.png
​
 
Ccm irejeshe viwanja vyote vya michezo ilivyovinyakua kutoka serikalini ili viweze kuhudumiwa ipasavyo na serikali.

Inafaa ccm ishitakiwe kwa kunyakua hivyo viwanja na kuvitumia kinyume cha sheria na yafaa ishitakiwe ili walipe fidia kwa zaidi ya miaka 30 walivyovitumia viwanja hivyo pamoja na ofisi za serikali walivyo jimilikisha kinyume cha sheria.
 
Back
Top Bottom