Bado nafikiri tuna serous conditioning na CCM ... hatuuoni na kuukubali ukweli ulioko wazi kabisa.. Why discuss about Lusinde in this whole issue!! Lusinde?? Hakusimama pale akiwakilisha familia au kampuni yake!!
Muondoe Lusinde Leo pale kwa sababu ya alichokifanya ... Nani kakuambia utakuwa umeangamiza yale MATUSI pale CCM!!? The seed is still there, soon will manifest another Lusinde tena aliyepiga sugu ... kwa kuwa MBEGU ni CCM yenyewe!
Kwa namana yoyote CCM isaidiwe, IPEWE MSAADA WA DHATI kwa kuchukuliwa hatua kali, yenyewe HAIJIWEZI!!
Pamoja na Maumivu yatakayokuwepo ... CCM itashikuru kwa Upendo wa kweli utakao kuwa Imepewa kwa hatua hizo ... Yenyewe haijiwezi!!