Ukimya wa CCM na Lusinde

Ukimya wa CCM na Lusinde

S.o.k.w.e bwana ,hiv mbona sikumsikia hadi mwisho wa campaign,
walimtoa nn?
 
S.o.k.w.e bwana ,hiv mbona sikumsikia hadi mwisho wa campaign,
walimtoa,au?
 
Nafikiri haikuwa bahati mbaya! alichokitaka kimeshatokea. Mwacheni alijenge Taifa. Hii ndio hazina ya uongozi wa nchi yetu siku za usoni
 
  • Thanks
Reactions: f2f
i wish ningekuwa na njia ya kumvua ubunge,hivi kweli jamani embu wote tulioboreka kama watanzania bila kujali chama tupate jinsi ya kumtoa,wanasheria watusaidie,ila sasa inawezekana alitumwa na wakubwa,
 
Chadema wanasubiri wakamkaangie Bungeni. Maana ameonesha zarau kwa kiongozi kwa Kambi ya Upinzani Bungeni. Tunasubiri Muongozo wa Spika
 
Mwacheni bana...hamjui kwamba huyu ndo atakayewapatia ushindi CHADEMA 2015?
 
Ukimsikiliza vizuri bila ghazabu, wala ushabiki wa kichama, utagundua kama alikuwa akijibu hoja zilizowahi kutolewa awali na upande mwingine katika kampeni hiyo!
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi , Nnauye ,katika gazeti la Mwananchi la leo ,amekiri chama chake kushindwa na kukubali matokeo na kuipongeza Chadema kwa ushindi.Vile vile, Naibu Katibu Mkuu , John Chiligati ,amefanya vivyo hivyo.
Sasa,tungependa kusikia kauli ya Mwenyekiti Taifa wa CCM .Katika kufanya hivyo , atueleze pia iwapo ile kauli aliyopata kuitoa kuwa ''vyama vya upinzani ni vya msimu'' bado ina maana kwake.
 
But you know what, I think it's a good thing. Mimi binafsi sitaki kabisa aadhibiwe.
Binafsi yangu aadhibiwe kwa sababu tunataka kuonyesha mfano kwa viongozi wetu wawe responsible na accountable, hili la matusi sii majukumu tulowatuma. Kama ingekuwa kijiweni iwe hata hapa JF labda... lakini kutoa matusi yale ktk mkutano wa hadhara sijui chale za matakoni halafu tunawajua walishughulikiwa jela kama vile hili ni jambo la kawaida japokuwa ni uongo uliotungwa..kusema kweli inasikitisha sana. Yaani hali iliyopo Jela kiongozi anaijua lakini anaifurahia kwa sababu anataka tu kurusha matusi..
 
Binafgsi yangu aadhibiwe kwa savbu tunataka kuonyesha mfano kwa viongozi wetu wawe accountable na hili la matusi sii majukumu tulowatuma. Kama ingekuwa kijiweni iwe hata hapa JF labda... lakini kutoa matusi yale ktk mkutano wa hadhara sijui chale za matakoni halafu tunawajua walishughulikiwa jela kama vile hili ni jambo la kwaida kusema kweli inasikitisha sana. Yaani hali iliyopo Jela kiongozi anaijua lakini anaifurahia kwa sababu anataka tu kurusha matusi..

Lakini Bob, huoni kwamba huyu jamaa ndo anaweza kuizamisha meli ya CCM 2015? Au wewe bado unataka CCM iendelee tu kutawala?
 
NN, nadhani watu wamesahau kuwa Lusinde alifanya hivyo kwa jina la CCM, mbele ya viongozi wenzake, na mbele ya taifa akisifia rangi za chama chake na kumwagia kibwagizo. Aliwauliza watu "niwarambe nisiwarambe" wakamwambia "warambee" well kama watu waliona anawakera wangeweza kuondoka mmoja mmoja lakini hawakufanya hivyo. Tamko lolote sasa hivi litakuwa ni kujaribu kukumbuka ndoo kisimani - mtu kafika kisimani ndio anashtuka "oh ndoo yangu iko wapi?"
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Ni kweli lakini maana nimemsikia akisema "CCM oyeeeee"
 
Ndugu zangu wana Jamii Forums, hakuna kiungo kibaya na kizuri kama ulimi...kiungo kidogo yet kina implications kubwa sana sana. Lusinde ni aibu sio tu kwa C.C.M lakini kwa Taifa kwa ujumla. Mtu yeyote akisikia huyu kijana ni wa Tanzania, anaanza kumfikiria Lusinde kwanza na kusema hivi ndivyo vijana wa Tanzania tulivyo. Sisi vijana wa Tanzania tuna uwezo kwa pamoja kusimama kwa kauli moja kuomba aadabishwe maana ametuvunjia heshima kwa wazazi wetu, wadogo zetu, mama zetu na dada zetu wametajwa viungo vyao hadharani either directly or indirectly, sidhani kama kweli hiyo ndio picha ya mtu tunayemtaka atuwakilishe popote, Kwa sasa ni Mbunge wa Mtera, ila ni Mbunge wa Bunge Tukufu la Tanzania na ndio maana wote tunamuita muheshimiwa regardless of his party...tusimame kwa kauli moja tumkatae, asimame kwenye public aombe kwanza msamaha na sio vinginevyo, namalizia kwa hii quote hapa ''A slip of the foot you may soon recover, but a slip of the tongue you may never get over."Benjamin Franklin...Naomba kuwasilisha wanajamii forums wenzangu...
 
Lakini Bob, huoni kwamba huyu jamaa ndo anaweza kuizamisha meli ya CCM 2015? Au wewe bado unataka CCM iendelee tu kutawala?
Sidhani kama Lusinde ndio sababu ya CCM kushindwa Arumeru, pengine ndiye kawapa hata hizo zilizopatikana maana Watanzania wanapenda sana matusi wala sii mchezo.. blog zote za matusi matusi, ndizo zinapanda chati zaidi.

Michuzi imepungua wasomaji kutokana na kuacha dira ile ya mipasho, sasa kamsome Mange na facebook social groups za matusi matusi ndio utawaona kibao wamejazana na niseme karibu nusu ya viongozi wa CCM wanajua kuuchonga kwa matusi..Kama tunataka Change ni lazima tuanze sisi wenyewe kufikiri tofauti kuadhibiana na kutoendekeza matusi maana huko CCM wamejaa sana kina Tambwe, Sophia Simba, Anna Abdallah na mashangingi wenye kujua kuchonga. CCM inakwisha, na kifo chake kinatokana na kushindwa kuwaletea maendeleo wananchi sio kwa sababu ya JK au Lusinde..huu ni mtazamo wangu
 
Mimi nadhani hayo matusi ya Lusinde yatarahisisha kazi ya CHADEMA ya kuchora mstari wa utenganishi baina yake na CCM.
 
Mimi nadhani hayo matusi ya Lusinde yatarahisisha kazi ya CHADEMA ya kuchora mstari wa utenganishi baina yake na CCM.
Yawezekana lakini unajua hadi sasa naweza sema video hii imetazamwa na watu wengi kuliko hata hotuba za Mkapa, Slaa na Lowassa?
 
Back
Top Bottom