Ukimya uliokuwepo Ikulu umenistua!!

Ukimya uliokuwepo Ikulu umenistua!!

Tatizo wananyongeshwa na RC!

Umekurupukia wapi wewe? Kauli ile ilihusu waliohukumiwa kwa kukutwa na hatia nje ya nchi na sio hapa nchini,tena akasema ni kwa mujibu wa sheria za huko
Sasa wewe na huyo RC unatola nae wapi [emoji872]
 
Anzieni msoga kwa mstaafu ndio alituletea janga hili kwa kuogopa chama kisifie mikononi mwake, yeye alijichumia pesa ya kutosha anakula nchi ughaibuni shida zetu katuachia wenyewe tunateseka peke yetu.

Anzia msoga mstaafu awaeleze alikuwa na nia ya kujenga nchi au ni ubinafsi ulikuwa unamtuma kutuletea janga hili?!

Anzia msoga kwa mstaafu awaeleze huyu aliyekuwa waziri wake hakumjua kama Hana aiba ya uongozi au alifanya hivyo kutukomoa watanzania halisi wenzie?!

Anzia msoga tena anzia msoga nasema, anzia msoga mstaafua awaeleze furaha aliyo nayo kwa Tanzania na watanzania wenye njaa, wenye kiu, wenye magonjwa, wasiomudu elimu bure ya msingi mpaka sekondari, wenye kufungwa na kuwekwa vizuizini ili wenye madaraka wafurahi!
ANZIA MSOGA.

Kule monduli kulikoni hebu tupe hata mfano mmoja wa mema ya manywele?

Kaishia kupiga disco marufuku mto wa mbu ili tu kumfurahisha mama fig [emoji872]
 
Ata kujamba ilikuwa ni kwa shida, Ukweli nimegundua watu wote pale walikuwa kwenye attention ya kumtetemekea bwana mkubwa
 
..lazima prof awe mnyonge...kapewa order ya kuwanyisha tena watoto wa form one mtihani ili kuwapunguza...na hili sidhani kama kichwani kaliafiki...lakini ndio hivyo lazima afanye....la sivyo kazi Hana..wanaocheks na bwana mkubwa ni wanafiki...wanaotumikia matumbo yao na watoto wao...hapa kazi tu...
Yaani mkuu nimemuonea huruma yule mama juu la hili la kurudia mtihani watoto wa 4m one ni issue nyingine kabisa lazima akose amani
 
Siku Sizonje na timu yake wakiweza Ku access mawasiliano ya jf na kudukua Id zetu twafaaa. Itabid zile hostel mpya za Udsm ziitwe gereza la uchochezi maana atakaebakia bila kesi ya uchochezi humu ni Lizabon na Barbosa tu
Mkuu uwekwe ktk gereza la starehe?
 
Kule monduli kulikoni hebu tupe hata mfano mmoja wa mema ya manywele?

Kaishia kupiga disco marufuku mto wa mbu ili tu kumfurahisha mama fig [emoji872]
Mimi sivuti bha…… na mateja aise!
Ya monduli ntayajuaje na yananihusu nini mimi?!
 
Kuna afande alonekana anasinzia pale.. Sijui mkulu atamchimba biti gani akija kuitazama ile video vizuri.
 
"Mawaziri msiwe wanyonge"

Tafakari sana hiyo kauli.
Halafu jamaa kwa kusema PM na mawaziri walikuwa hawafahamu nafasi zao kwenye tume ya madawa ya kulevya, si kawatukana? Yaani ina maana sheria hiyo ilivyowasilishwa, kujadiliwa hadi kupitishwa, mawaziri hao walikuwa hawafahamu nafasi zao?!?

Siamini, halafu wanaambiwa hivyo, wanaufyata...[HASHTAG]#ndiyomzee[/HASHTAG]
 
Sisi wa Afrika tutawaliwe tena tuu yaani unampinga Makonda kisa njia aliyo tumia hivi huoni tatizo la madawa ya kulevya pamoja na madhara yalivyo makubwa ni sawa na hiyo njia aliyo tumia???

Watu mnasema sema sheria hapo ulipo ukipewa sheria za nchi hata wewe utaona umevunja sheria acheni unafiki nendeni Muhimbili,Bagamoyo angalieni waathirika wa dawa za kulevya halafu njoo hapa ucomment upuuzi wako hata angetumia njia gani mnao ishi kwa hela za madawa mngekasilika hakuna mtanzania ambae huwa anaridhika

Nchi za watu wananyongwa karibi watu 3000 na watu wapo kimya nyie kuitwa tuu central kelele mitaa yote kama mmeguswa wapi sijui

Mimi ningekuwa rais Mateja wote ningenyonga na yeyote ambae angehisiwa kutumia madawa ya kulevya ningenyonga kwanini watu wakuhisi wewe tuu?

Madawa ya kulevya ni mabaya mabaya watu wanatelekeza watoto wao kisa mdawa ya kulevya watu mpo hapa mnacheka tuuuuu eti njia njia njia upuuzi gani huuu wa kutetea watumiaji wa madawa ya kulevya? Tena mtu anaitwa tuu alisaidie jeshi la polisi kelele kibaoooo je angeambiwa anatumia?

Wabongo sisi wanafikiiiiii wanafikiiiii wanafikiiiii sanaaaa

HIVI TRUMP ANAKUJA KUTUTAWALA LINI? akianza kutawala Afrika aanze na Tanzania Safari hii tusibebe vyuma vya Reli tulibebe Treni kabisa kutokea Zambia Hadi Dar Akili itatukaa sawaaa hatuta comment na kutetea Ujingaàaaa

Unakuja JF hapaaa kutetea na kumtukana Makonda na Rais mfyuuuuuuuuuuuuuuu Nenda Facebook post huo ujinga wako tuone nani atakuja kukutoa Rokapu! Ujinga tuuu umetawala na kuanza kushabikia Madawa ya kulevyaaaaaaaa.....Mtu mzima una watoto kabisa unatetea huo upuuzi wa madawaaa......au kwa vile ndugu yako hajaathirika?

Ningekuwa na ndugu yangu mfanya biashara au mtumiaji nisinge subiri atajwe ningempeleka mwenyewe central
 
Huwezi kujificha nyuma ya vita ya madawa ya kulevya kufitinisha watu kijingajinga kisha tukushangilie, tafuta wajinga wenzio mkamshangilie peke yenu.
 
We utakuwa na mtindio wa ubongo au ulizaliwa njiti wewe! Si bure! Wapi umekuta mtu anashabikia dawa za kulevya? Hakuna anayefurahia madhara ya dawa za kulevya. Tunachosema tuwe serious. Tuache kutafuta kick za kisiasa! Wapi ulioona mfanyabiashzra wa dawa za kulevya anaambiwa akae chonjo siku mbili zijazo nitakuja kukupekua? This is insanity! Zoezi zima halina nia njema! Watu wanafika centro, polisi wanashindwa hata kujua wawaambieje? Yotak confusion!
Sisi wa Afrika tutawaliwe tena tuu yaani unampinga Makonda kisa njia aliyo tumia hivi huoni tatizo la madawa ya kulevya pamoja na madhara yalivyo makubwa ni sawa na hiyo njia aliyo tumia???

Watu mnasema sema sheria hapo ulipo ukipewa sheria za nchi hata wewe utaona umevunja sheria acheni unafiki nendeni Muhimbili,Bagamoyo angalieni waathirika wa dawa za kulevya halafu njoo hapa ucomment upuuzi wako hata angetumia njia gani mnao ishi kwa hela za madawa mngekasilika hakuna mtanzania ambae huwa anaridhika

Nchi za watu wananyongwa karibi watu 3000 na watu wapo kimya nyie kuitwa tuu central kelele mitaa yote kama mmeguswa wapi sijui

Mimi ningekuwa rais Mateja wote ningenyonga na yeyote ambae angehisiwa kutumia madawa ya kulevya ningenyonga kwanini watu wakuhisi wewe tuu?

Madawa ya kulevya ni mabaya mabaya watu wanatelekeza watoto wao kisa mdawa ya kulevya watu mpo hapa mnacheka tuuuuu eti njia njia njia upuuzi gani huuu wa kutetea watumiaji wa madawa ya kulevya? Tena mtu anaitwa tuu alisaidie jeshi la polisi kelele kibaoooo je angeambiwa anatumia?

Wabongo sisi wanafikiiiiii wanafikiiiii wanafikiiiii sanaaaa

HIVI TRUMP ANAKUJA KUTUTAWALA LINI? akianza kutawala Afrika aanze na Tanzania Safari hii tusibebe vyuma vya Reli tulibebe Treni kabisa kutokea Zambia Hadi Dar Akili itatukaa sawaaa hatuta comment na kutetea Ujingaàaaa

Unakuja JF hapaaa kutetea na kumtukana Makonda na Rais mfyuuuuuuuuuuuuuuu Nenda Facebook post huo ujinga wako tuone nani atakuja kukutoa Rokapu! Ujinga tuuu umetawala na kuanza kushabikia Madawa ya kulevyaaaaaaaa.....Mtu mzima una watoto kabisa unatetea huo upuuzi wa madawaaa......au kwa vile ndugu yako hajaathirika?

Ningekuwa na ndugu yangu mfanya biashara au mtumiaji nisinge subiri atajwe ningempeleka mwenyewe central
 
Sisi wa Afrika tutawaliwe tena tuu yaani unampinga Makonda kisa njia aliyo tumia hivi huoni tatizo la madawa ya kulevya pamoja na madhara yalivyo makubwa ni sawa na hiyo njia aliyo tumia???

Watu mnasema sema sheria hapo ulipo ukipewa sheria za nchi hata wewe utaona umevunja sheria acheni unafiki nendeni Muhimbili,Bagamoyo angalieni waathirika wa dawa za kulevya halafu njoo hapa ucomment upuuzi wako hata angetumia njia gani mnao ishi kwa hela za madawa mngekasilika hakuna mtanzania ambae huwa anaridhika

Nchi za watu wananyongwa karibi watu 3000 na watu wapo kimya nyie kuitwa tuu central kelele mitaa yote kama mmeguswa wapi sijui

Mimi ningekuwa rais Mateja wote ningenyonga na yeyote ambae angehisiwa kutumia madawa ya kulevya ningenyonga kwanini watu wakuhisi wewe tuu?

Madawa ya kulevya ni mabaya mabaya watu wanatelekeza watoto wao kisa mdawa ya kulevya watu mpo hapa mnacheka tuuuuu eti njia njia njia upuuzi gani huuu wa kutetea watumiaji wa madawa ya kulevya? Tena mtu anaitwa tuu alisaidie jeshi la polisi kelele kibaoooo je angeambiwa anatumia?

Wabongo sisi wanafikiiiiii wanafikiiiii wanafikiiiii sanaaaa

HIVI TRUMP ANAKUJA KUTUTAWALA LINI? akianza kutawala Afrika aanze na Tanzania Safari hii tusibebe vyuma vya Reli tulibebe Treni kabisa kutokea Zambia Hadi Dar Akili itatukaa sawaaa hatuta comment na kutetea Ujingaàaaa

Unakuja JF hapaaa kutetea na kumtukana Makonda na Rais mfyuuuuuuuuuuuuuuu Nenda Facebook post huo ujinga wako tuone nani atakuja kukutoa Rokapu! Ujinga tuuu umetawala na kuanza kushabikia Madawa ya kulevyaaaaaaaa.....Mtu mzima una watoto kabisa unatetea huo upuuzi wa madawaaa......au kwa vile ndugu yako hajaathirika?

Ningekuwa na ndugu yangu mfanya biashara au mtumiaji nisinge subiri atajwe ningempeleka mwenyewe central
Kama ambavyo madawa ni mabaya unajihisi vp kuhusishwa nayo pasipokua na ushahidi wa kutosha?
Thn unaenda badae unaachiwa kua hujihusishi nayo, image yako kwa jamii inayokuzunguka inakuwaje?
Nani atakuamini tena?? Be fare asee acha kufikiria upande mmoja tuu. Jaribu kuvivaa viatu thn ndo urudi apa utokwe na povu sawasawa!!!..
Sisi sote tunatamani uangamivu huu kwa njia ya madawa ukome kbs, lkn sio utokemezwe kwa njia ambazo zinawavua watu wengine nguo.
 
Halafu jamaa kwa kusema PM na mawaziri walikuwa hawafahamu nafasi zao kwenye tume ya madawa ya kulevya, si kawatukana? Yaani ina maana sheria hiyo ilivyowasilishwa, kujadiliwa hadi kupitishwa, mawaziri hao walikuwa hawafahamu nafasi zao?!?

Siamini, halafu wanaambiwa hivyo, wanaufyata...[HASHTAG]#ndiyomzee[/HASHTAG]
Hii imesemwa lini mkuu au tuamini ule usemi wa kusinzia mjengoni
 
Akiwepo Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye na mawaziri kadhaa wa serikali ambao ni makada nguli wa CCM kwenye kuapishwa kwa viongozi waliokuwa wameteuliwa na Mheshimiwa Rais, nimeona kuna ukimya wa kutisha sana hadi nimejiuliza kulikoni?

Hata Makonda alipopewa Pongezi zake sikuona kama kuna mwitikio toka kwa viongozi wengine wa serikali walipokuwemo mle ndani. utulivu hata wakati Mheshimiwa Rais akijaribu kuwa mcheshi kwa wageni wake makofi yaliyokuwa yanapigwa yalikuwa haba sana. Hii hali imenifikirisha sana. Au kwa kuwa leo ni Week-end watu wana uchovu wa jana?
Hadi savimbi?shenzi kabisa hana mahali pa kuvaa uniform au mibendera yake wakati watu wanalia? Mwisho wake unakaribia na wenzie watafikishwa katika sheria tuu.subiri karata zijichange tuu, Mungu atawatoa ccm kwa namna ya ajabu kuliko ghaddafi. Na watanzania hawatamwaga damu kwa vita ilaitamwagwa na hawa mashetani I'll hukumu yao iwe njema zaidi.
 
Mie nimemuona Prof Ndalichako yuko pale Kimwili tu si kifikra na kiakili!

Seriously Sehemu ya Pili ya Wimbo wetu wa Taifa tunapoombea Taifa letu Mwenyezimungu haipokei Tangu Awamu ya Tano imeingia
Serious? Proof please kama awamu ya nne Mwenyezi Mungu alikuwa anasikia. Ukiangalia sana tunavuna tuliyopanda. Awamu ya nne ilitengeneza mambo yaliyohitaji marekebisho makubwa. Tusilie tunapovuna shamba tuliyopanda wenyewe

Tutakuwa vichaa kusubiri maembe kwenye mti wa mnazi kama anaposema Darasa
 
Yani daaah eti IGP si tanzania nzima tungeekwa rok up[emoji23][emoji23][emoji23].. ayo majela yatajaa ss wataanza kubana matumizi ili yajengwe mengine
 
Back
Top Bottom