Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
kesho aense muhimbili kupasua watu kwa vile watu wanaachwa na ndugu zetu kufa.Na aanze pasua busha lako na usilalamike au kugoma. Hapo logic ya nyumbu kama yako itaa apply.Sisi wa Afrika tutawaliwe tena tuu yaani unampinga Makonda kisa njia aliyo tumia hivi huoni tatizo la madawa ya kulevya pamoja na madhara yalivyo makubwa ni sawa na hiyo njia aliyo tumia???
Watu mnasema sema sheria hapo ulipo ukipewa sheria za nchi hata wewe utaona umevunja sheria acheni unafiki nendeni Muhimbili,Bagamoyo angalieni waathirika wa dawa za kulevya halafu njoo hapa ucomment upuuzi wako hata angetumia njia gani mnao ishi kwa hela za madawa mngekasilika hakuna mtanzania ambae huwa anaridhika
Nchi za watu wananyongwa karibi watu 3000 na watu wapo kimya nyie kuitwa tuu central kelele mitaa yote kama mmeguswa wapi sijui
Mimi ningekuwa rais Mateja wote ningenyonga na yeyote ambae angehisiwa kutumia madawa ya kulevya ningenyonga kwanini watu wakuhisi wewe tuu?
Madawa ya kulevya ni mabaya mabaya watu wanatelekeza watoto wao kisa mdawa ya kulevya watu mpo hapa mnacheka tuuuuu eti njia njia njia upuuzi gani huuu wa kutetea watumiaji wa madawa ya kulevya? Tena mtu anaitwa tuu alisaidie jeshi la polisi kelele kibaoooo je angeambiwa anatumia?
Wabongo sisi wanafikiiiiii wanafikiiiii wanafikiiiii sanaaaa
HIVI TRUMP ANAKUJA KUTUTAWALA LINI? akianza kutawala Afrika aanze na Tanzania Safari hii tusibebe vyuma vya Reli tulibebe Treni kabisa kutokea Zambia Hadi Dar Akili itatukaa sawaaa hatuta comment na kutetea Ujingaàaaa
Unakuja JF hapaaa kutetea na kumtukana Makonda na Rais mfyuuuuuuuuuuuuuuu Nenda Facebook post huo ujinga wako tuone nani atakuja kukutoa Rokapu! Ujinga tuuu umetawala na kuanza kushabikia Madawa ya kulevyaaaaaaaa.....Mtu mzima una watoto kabisa unatetea huo upuuzi wa madawaaa......au kwa vile ndugu yako hajaathirika?
Ningekuwa na ndugu yangu mfanya biashara au mtumiaji nisinge subiri atajwe ningempeleka mwenyewe central