Ukimya uliokuwepo Ikulu umenistua!!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
20,389
38,667
Akiwepo Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye na mawaziri kadhaa wa serikali ambao ni makada nguli wa CCM kwenye kuapishwa kwa viongozi waliokuwa wameteuliwa na Mheshimiwa Rais, nimeona kuna ukimya wa kutisha sana hadi nimejiuliza kulikoni?

Hata Makonda alipopewa Pongezi zake sikuona kama kuna mwitikio toka kwa viongozi wengine wa serikali walipokuwemo mle ndani. utulivu hata wakati Mheshimiwa Rais akijaribu kuwa mcheshi kwa wageni wake makofi yaliyokuwa yanapigwa yalikuwa haba sana. Hii hali imenifikirisha sana. Au kwa kuwa leo ni Week-end watu wana uchovu wa jana?
 
NIMEMKUMBUKA askofu mmoja na walaka wa utabiri kipindi kile. Naona bado muendelezo wa ule utabiri UNAENDELEA HATUA KWA HATUA... msinisakame sikuchanganya mada. Ma GT watakuwa wamenipata
 
Back
Top Bottom