Tatizo wananyongeshwa na RC!"Mawaziri msiwe wanyonge"
Tafakari sana hiyo kauli.
Musukuma anakuambia nanukuu "Mawaziri wa ccm kama wamepigwa ganzi" mwisho wa kunukuu.Yani
This earthquake sio ya mchezo mchezo.. Vigogo wote walikuwa kama wamemwagiwa maji...
Sikutegemea kucheka mida hii eti" angekwenda na Maji pale pale"Jakaya 2008 akihutubia Bunge aligundua Waziri wake wa Fedha Mustapha Mkulo hayupo Ki Fikra Bungeni ( alisinzia )akamuuliza Swali la kustukiza katikati ya Hotuba, alipobabaika Mkulo, Jk akacheka Sanaa Kama kawaida yake ya ucheshi. Ingekuwa Awamu hii angekwenda na Maji pale pale
Ninaangalia Azam Two hapa. Huyu mleta mada ni muongo sana. Yaani hata aibu haoni.Mkiwa hamna cha kuandika mnaleta upupu.
Mimi nimeangalia Chanel Ten. uongo wangu ni upi? Sijasema huangalii Azamtv!Ninaangalia Azam Two hapa. Huyu mleta mada ni muongo sana. Yaani hata aibu haoni.
Labda kuna msibaKwa kweli hata mimi hilo limenishangaza sana leo. Ikulu ilikuwa imejaa UNYONGE, HOFU, MASHAKA, WASIWASI, UKIWA, SIMANZI, WOGA nk.
Nimewaona mawaziri wakiwa katika hali ya sintofahamu kubwa sana.
What is wrong?
Hakuna njaa Tanzania. Wewe umejuaje kama ni njaa?Njaa hudumaza akili
Njaa huleta ujinga
Angalia Azam Two sasa hivi. Hayo makofi ni mengi tu. Unajua wazi kwamba unaandika kwa unazi wa chama. Acha hizo, sio wote tumo humu kichama. Haya ni masuala ya kitaifa.Mimi nimeangalia Chanel Ten. uongo wangu ni upi? Sijasema huangalii Azamtv!
Kupigiwa ama kutokupigiwa makofi ni mambo ya kitaifa?Angalia Azam Two sasa hivi. Hayo makofi ni mengi tu. Unajua wazi kwamba unaandika kwa unazi wa chama. Acha hizo, sio wote tumo humu kichama. Haya ni masuala ya kitaifa.
Sasa wewe hapa unaongelea nini haswa?Kupigiwa ama kutokupigiwa makofi ni mambo ya kitaifa?