Msarendo
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 10,910
- 7,115
na hao ni watawala je sisi akina kajamba nano ndo balaaKwa kweli hata mimi hilo limenishangaza sana leo. Ikulu ilikuwa imejaa UNYONGE, HOFU, MASHAKA, WASIWASI, UKIWA, SIMANZI, WOGA nk.
Nimewaona mawaziri wakiwa katika hali ya sintofahamu kubwa sana.
What is wrong?