Anzieni msoga kwa mstaafu ndio alituletea janga hili kwa kuogopa chama kisifie mikononi mwake, yeye alijichumia pesa ya kutosha anakula nchi ughaibuni shida zetu katuachia wenyewe tunateseka peke yetu.
Anzia msoga mstaafu awaeleze alikuwa na nia ya kujenga nchi au ni ubinafsi ulikuwa unamtuma kutuletea janga hili?!
Anzia msoga kwa mstaafu awaeleze huyu aliyekuwa waziri wake hakumjua kama Hana aiba ya uongozi au alifanya hivyo kutukomoa watanzania halisi wenzie?!
Anzia msoga tena anzia msoga nasema, anzia msoga mstaafua awaeleze furaha aliyo nayo kwa Tanzania na watanzania wenye njaa, wenye kiu, wenye magonjwa, wasiomudu elimu bure ya msingi mpaka sekondari, wenye kufungwa na kuwekwa vizuizini ili wenye madaraka wafurahi!
ANZIA MSOGA.