Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,919
- 7,770
[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]Mkiwa hamna cha kuandika mnaleta upupu.
[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]Mkiwa hamna cha kuandika mnaleta upupu.
Kama hujui ninachoongelea sasa unapochangia nini kinachokuongoza kuchangia kwako?Sasa wewe hapa unaongelea nini haswa?
Yaani kama ni mwalimu umeshaona darasa linaogopa hesabu na kama ni kocha unaona timu imeshakubali kushindwa kiakili kabla hata ya mechi, ndio ujiulize wameona nn mbele,kuna nani, ni nani adui, muuzaji, mtandao wa dawa una kina nani?"Mawaziri msiwe wanyonge"
Tafakari sana hiyo kauli.
Nimetumia lugha ya picha simaanishi njaa hiyo uliyojua ww.Hakuna njaa Tanzania. Wewe umejuaje kama ni njaa?
Nilikuelewa ila wewe huna mamlaka ya kutaja mambo ya njaa!Nimetumia lugha ya picha simaanishi njaa hiyo uliyojua ww.
Wateule wana njaa ndo nachomaanisha
Makonda kwa kubadili ID hujambo!!Mkiwa hamna cha kuandika mnaleta upupu.
Usijifanye mjanja sana. Ukada wa chama umeshakupofua siku nyingi sana. Sasa hivi wewe ni kipofu na ni kiziwi. Kila kitu unakiangalia kiitikadi. Sasa hapa ulikuwa unasema nini?Kama hujui ninachoongelea sasa unapochangia nini kinachokuongoza kuchangia kwako?
Akiwepo Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye na mawaziri kadhaa wa serikali ambao ni makada nguli wa CCM kwenye kuapishwa kwa viongozi waliokuwa wameteuliwa na Mheshimiwa Rais, nimeona kuna ukimya wa kutisha sana hadi nimejiuliza kulikoni?
Hata Makonda alipopewa Pongezi zake sikuona kama kuna mwitikio toka kwa viongozi wengine wa serikali walipokuwemo mle ndani...makofi yaliyokuwa yanapigwa yalikuwa haba sana...
Unafiki mtupu, ni lini ulimuona Mwiguli anacheka cheka Ikulu au ndio mmeanza viji maneno vyenu?
Nilikuwa nakuuliza wewe kama kupigiwa makofi ni jambo la kitaifa?Usijifanye mjanja sana. Sasa hapa ulikuwa unasema nini? Ukada wa chama umeshakupofua siku nyingi sana. Sasa hivi wewe ni kipofu na ni kiziwi. Kila kitu unakiangalia kiitikadi.
Hivi wewe vipi. Uko sawa kichwani kweli? Nimejaribu kukueleza kwamba mada uliyoileta imejaa uongo, sasa wewe unaanza kuleta mambo mengine.Nilikuwa nakuuliza wewe kama kupigiwa makofi ni jambo la kitaifa?
Hapana ni kaimu Jaji Mkuu!!Nimesikia kaimu igp ,igp yupo wapi leo.?