Ukimya huu wa Askofu Gwajima vipi?

Ukimya huu wa Askofu Gwajima vipi?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Gizo totoro, kimyaaa kingi cha askofu Gwajima vipi?

Yupo bussy?

Yupo safarini kikazi?

Kachoka?

Anashughulikia ndege yake?

Anaandaa makombora ya masafa marefu?

Analiamsha dude?

Kwann askofu Gwajima yupo kimya hivi? Hayaoni wala kuyasikia haya yanayoendelea?
 
Wewe mkuu usiliamshe dude
 
Back
Top Bottom