UKIMWI upo, tambueni thamani yenu

UKIMWI upo, tambueni thamani yenu

Mkuu ukweli sijajua kwanini sijapata naamini ni mipango ya Mungu pekee alikuwa na malengo yake, kwasababu kuna wakati nilikuwa napata hadi michubuko na nilikuwa rafu sana kwenye hilo.
labda kibaiolojia kuna sababu za msingj zaidi
Viral load yake ilikuwa ndogo hivyo haikuwa sufficient kukuambukiza
 
Hujaelezea kwanini wewe haujaupata sasa. Umeniacha njia panda apo.

ILA

Ipo siku hili Dili LA ukimwi wafrika tutajuaga ukweli wake tuuu ... kuna vitu najiulizaga juu ya huu ugonjw Sana.
sababu hua either ni maumbile madogo a mwananume hvyo kupunguza uweekano wa kuleta michubuko

au mwanamke ana maji meng so inasaidia kuondoa michubuko pia

ndo maana mnashauriwa ile tabia a kusimamia ukucha muache sijui kusugua hadi kei iwake moto

all in all tutumieni ndoms hzo hua bahat kwa wachache
 
Ila kuna watu wana maambukiz lakini wakipimwa hawana.
Hyo ipo kabisa,kuna jamaa kasha ua kibao lakini yeye kila akichek hana. Na akitambea na demu anaambukiza.
Hapo sijuagi ni kitu gani kwa kweli

Mkuu hii ni chai, Umechangamsha Genge tu
 
Sizani kama majibu yangekuwa tofauti ungeleta uzi huu.
 
Kipindi cha ujauzito alikua hajapimwa??
Nimesoma comments zake zote jamaa anajichanganya Sana ni stori tu aliyoamua kuja kuifuraisha JF.

Ulichouliza ndicho kilichomuumbua, mjamzito akishafungua kadi hapo hapo wanampima HIV.
 
soma vizuri mkuu utaelewa baada ya miezi 7 ya kujifungua ndio mimi napewa taarifa hii wakati ambao mama anapaswa amuachishe mtoto kunyonya hivyo kwa hali yoyote angefanya kimya kimya lazima ningehoji kwanini iwe hivi.
Hakuna anaejisifia matatizo humu.

kwa hiyo mtoto anayezaliwa na hiv positive anaachishwa baada ya miezi 7
 
Nilikuwa na tabia ya kuwabadilisha wanawake Mbalimbali kwaajili ya ngono, siku za weekend nikiwa free hadi watatu kwa siku, kama makahaba wanaojiuza wa kujipanga kujiuza nimetembea nao hawana idadi na barmaids kibao hawana idadi pia ( Kundi hili ni hatari zaidi) na wote hao sikutumia kinga nilifanya ngono zembe.

Ujanja wangu nikapatikana kwa binti wa miaka 18 tu akiwa mbichiiiii anawaka kama jua la saa sita, Nimekuwa nae hatimae akapata ujauzito na mpango wangu ulikua kumuoa kwasababu nilikolea haswaa, baada ya kujifungua ikapita miezi 7 akaniambia clinic ameambiwa amuachishe mtoto kunyonya kwasababu yeye ana Ukimwi. (Sijui ushujaa huu wa kuniambia alioutoa wapi)

Nikashangaa sana kwasababu nilikuwa nimetoka kupima sio muda nikiwa peke yangu... Hivyo nikaamua kumtaarifu mama yake juu ya taarifa hii kumbe wao wote huko kwao walikua wanafahamu habari hii ila mimi walikua wananificha na waliamini mimi ndio nimeleta ugonjwa kwa mtoto wao,

Baada ya mimi kulia na kupagawa sana nikaamua Kwenda kupima tukiwa wote mimi, mchumba wangu na mtoto pamoja na shahidi wa upande wa binti ambae ni mama yake mkubwa, vipimo vikawa mimi na mtoto ni wazima ila mchumba ni kweli hiv+.

Tokea hapo ndio niliitambua thamani yangu hapa duniani. hakika nimekoma tabia ya kuruka hovyo na wanawake bila tahadhari.

Enyi Madume menzangu mliopo kwenye ndoa kuweni na utaratibu wa kupima na wake zenu kwasababu lolote linaweza kutokea mtu ukajiokoa na maradhi haya.
Majibu ya mtu mmoja hayatoshi kuthibitisha afya yenu hasa tunavyowatumia wanawake kama vipimo vyetu wanapoenda clinic.

Tuwe makini bado tuna safari ndefu ya kuwafikisha watoto wetu katika ndoto zao.
Usione km umemaliza,Jitahidi sana kufanya mazoezi na kula vyakula natural,itakusaidia kuepuka magonjwa hatar zaidi ya UKIMWI...kuna Sukari,Kansa,Presha,Ini etc
 
Ha ha haaa haina fomula ujue

Halafuuu taratibu kwa hawa wenye sugu au kuna ulie muanzisha mwenyewe?
et wenye sugu wapo hawa madem et wanataka bao moja udinye nusu saaa ESOPO mi kazi hizo siwezi.. dk 10 nyingi sanaa na na hakikisha naacha kudinya kabla hakujawa kukavu ni bora waseme sina nguvu za kiume
 
Raha ya siku moja hiyo inaharibu maisha yako yote.
MUNGU epushia mbali hili jambo.
 
Mkuu ukweli sijajua kwanini sijapata naamini ni mipango ya Mungu pekee alikuwa na malengo yake, kwasababu kuna wakati nilikuwa napata hadi michubuko na nilikuwa rafu sana kwenye hilo.
labda kibaiolojia kuna sababu za msingj zaidi
Hiyo michubuko uliipata wkt unaruka na huyu mwenye Ukimwi au?
 
Nilikuwa na tabia ya kuwabadilisha wanawake Mbalimbali kwaajili ya ngono, siku za weekend nikiwa free hadi watatu kwa siku, kama makahaba wanaojiuza wa kujipanga kujiuza nimetembea nao hawana idadi na barmaids kibao hawana idadi pia ( Kundi hili ni hatari zaidi) na wote hao sikutumia kinga nilifanya ngono zembe.

Ujanja wangu nikapatikana kwa binti wa miaka 18 tu akiwa mbichiiiii anawaka kama jua la saa sita, Nimekuwa nae hatimae akapata ujauzito na mpango wangu ulikua kumuoa kwasababu nilikolea haswaa, baada ya kujifungua ikapita miezi 7 akaniambia clinic ameambiwa amuachishe mtoto kunyonya kwasababu yeye ana Ukimwi. (Sijui ushujaa huu wa kuniambia alioutoa wapi)

Nikashangaa sana kwasababu nilikuwa nimetoka kupima sio muda nikiwa peke yangu... Hivyo nikaamua kumtaarifu mama yake juu ya taarifa hii kumbe wao wote huko kwao walikua wanafahamu habari hii ila mimi walikua wananificha na waliamini mimi ndio nimeleta ugonjwa kwa mtoto wao,

Baada ya mimi kulia na kupagawa sana nikaamua Kwenda kupima tukiwa wote mimi, mchumba wangu na mtoto pamoja na shahidi wa upande wa binti ambae ni mama yake mkubwa, vipimo vikawa mimi na mtoto ni wazima ila mchumba ni kweli hiv+.

Tokea hapo ndio niliitambua thamani yangu hapa duniani. hakika nimekoma tabia ya kuruka hovyo na wanawake bila tahadhari.

Enyi Madume menzangu mliopo kwenye ndoa kuweni na utaratibu wa kupima na wake zenu kwasababu lolote linaweza kutokea mtu ukajiokoa na maradhi haya.
Majibu ya mtu mmoja hayatoshi kuthibitisha afya yenu hasa tunavyowatumia wanawake kama vipimo vyetu wanapoenda clinic.

Tuwe makini bado tuna safari ndefu ya kuwafikisha watoto wetu katika ndoto zao.

Acha na mimi nikapime leo this is serious.
 
Back
Top Bottom