Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,389
- 1,898
Naombeni ufafanuzi, hii imekaaje? Ni kivipi akiwa anatumia dozi vizuri hakuambukizi? Kuna mechanism gani hapo?Huyo huenda ama muda anatumia dawa na ndio maana hakukuambukiza
Naombeni ufafanuzi, hii imekaaje? Ni kivipi akiwa anatumia dozi vizuri hakuambukizi? Kuna mechanism gani hapo?Huyo huenda ama muda anatumia dawa na ndio maana hakukuambukiza
Kwanini viral load iwe ndogo kwa baadhi ya watu? Na ni viral load kiasi gani inatosha kusababisha maambukizi?Viral load yake ilikuwa ndogo hivyo haikuwa sufficient kukuambukiza
Viral load huwa ni ndogo kwa watumiaji wazuri wa dawa na kama mtu anatumia dawa vizuri anaweza kuwa na undetectable viral load na mtu huyo chance ya kuambukiza ni ndogo sana.Kwanini viral load iwe ndogo kwa basfhi ya watu? Na ni viral load kiasi gani inatosha kusababisha maambukizi?
Viral load huwa ni ndogo kwa watumiaji wazuri wa dawa na kama mtu anatumia dawa vizuri anaweza kuwa na undetectable viral load na mtu huyo chance ya kuambukiza ni ndogo sana.
Yeah, hata kama kuna michubuko risk ya transmission huwa ni ndogo kwa mwenye undetectable viral load aliye kwenye regular ARTHata kama ikitokea michubuko wkt wa tendo?
Yeah, hata kama kuna michubuko risk ya transmission huwa ni ndogo kwa mwenye undetectable viral load aliye kwenye regular ART
Sababu ni immunity, Antiretroviral Therapy (ART). Kwa viral load above 400 copies/mil of blood kunakuwa na chance of HIV transmissionKwanini viral load iwe ndogo kwa baadhi ya watu? Na ni viral load kiasi gani inatosha kusababisha maambukizi?
Sababu ni immunity, Antiretroviral Therapy (ART). Kwa viral load above 400 copies/mil of blood kunakuwa na chance of HIV transmission
Tahadhari ni muhimu. Unaweza usiambikiwe wewe ila mwingine akaambukizwa kwa sababu risk haijaondoka bali imepungua tu. Hata mtumiaji wa condom akijua partner ana maambukizi ni ngumu kufanya tendo japo condom anayoAsante kwa elimu hii. Ila vijana tuchukue tahadhari, mihemko ina nguvu sana bila kujali hatari iliyopo mbele yetu, lakini tukumbuke ugonjwa sio Ukimwi tu
Katika kusoma kwangu kote sijawahi kutana na dhana hiyoNa hili suala la blood group kuhusika ktk kuweka ugumu ktk maambukizi ni la kweli?
Sawa mkuu.Katika kusoma kwangu kote sijawahi kutana na dhana hiyo
Nilikuwa na tabia ya kuwabadilisha wanawake Mbalimbali kwaajili ya ngono, siku za weekend nikiwa free hadi watatu kwa siku, kama makahaba wanaojiuza wa kujipanga kujiuza nimetembea nao hawana idadi na barmaids kibao hawana idadi pia ( Kundi hili ni hatari zaidi) na wote hao sikutumia kinga nilifanya ngono zembe.
Ujanja wangu nikapatikana kwa binti wa miaka 18 tu akiwa mbichiiiii anawaka kama jua la saa sita, Nimekuwa nae hatimae akapata ujauzito na mpango wangu ulikua kumuoa kwasababu nilikolea haswaa, baada ya kujifungua ikapita miezi 7 akaniambia clinic ameambiwa amuachishe mtoto kunyonya kwasababu yeye ana Ukimwi. (Sijui ushujaa huu wa kuniambia alioutoa wapi)
Nikashangaa sana kwasababu nilikuwa nimetoka kupima sio muda nikiwa peke yangu... Hivyo nikaamua kumtaarifu mama yake juu ya taarifa hii kumbe wao wote huko kwao walikua wanafahamu habari hii ila mimi walikua wananificha na waliamini mimi ndio nimeleta ugonjwa kwa mtoto wao,
Baada ya mimi kulia na kupagawa sana nikaamua Kwenda kupima tukiwa wote mimi, mchumba wangu na mtoto pamoja na shahidi wa upande wa binti ambae ni mama yake mkubwa, vipimo vikawa mimi na mtoto ni wazima ila mchumba ni kweli hiv+.
Tokea hapo ndio niliitambua thamani yangu hapa duniani. hakika nimekoma tabia ya kuruka hovyo na wanawake bila tahadhari.
Enyi Madume menzangu mliopo kwenye ndoa kuweni na utaratibu wa kupima na wake zenu kwasababu lolote linaweza kutokea mtu ukajiokoa na maradhi haya.
Majibu ya mtu mmoja hayatoshi kuthibitisha afya yenu hasa tunavyowatumia wanawake kama vipimo vyetu wanapoenda clinic.
Tuwe makini bado tuna safari ndefu ya kuwafikisha watoto wetu katika ndoto zao.
Hujaelezea kwanini wewe haujaupata sasa. Umeniacha njia panda apo.
ILA
Ipo siku hili Dili LA ukimwi wafrika tutajuaga ukweli wake tuuu ... kuna vitu najiulizaga juu ya huu ugonjw Sana.
Mkuu Nakuombea....umeongea kwa uchungu sanaMpenzi wangu wa sasa ndio wa kwanza ananisisitiza niende nae kupima. Ananipenda sana ila nafsi yangu inasita kweli kwenda pima.
Wiki hii napiga moyo konde naenda ila siendi nae, nitaenda kivyangu kwanza kisha majibu yakiwa mazuri nitamchukua nikapime nae sehemu nyingine.
Majibu yakiwa mazuri NAAPA nitaanza kwenda kanisani na nitamuoa huyu binti anayeonekana kunijali na nitatulia nae na pia nitaanza maisha mapya kwa kuachana na marafiki zangu wa sasa ambao kwa kweli sio wa kuwa nao. Nitabadili namba za simu na kuhama kabisa hata mkoa na kwenda anza "upya". Kuhama sio ishu, bado nitakapohamia nina mizizi hivyo haitakuwa ngumu. Kikubwa hili genge langu haliwezi fika huko. NIMEDHAMIRIA, MUNGU niongoze.

Itakuwa vyema sana mkuuHaupo kabisa ni psychological problem au mindset. Nitakuja kutoa ushuhuda wangu siku moja.
mkuu story hiyo imewakuta wanaume wengi sana.Nilikuwa na tabia ya kuwabadilisha wanawake Mbalimbali kwaajili ya ngono, siku za weekend nikiwa free hadi watatu kwa siku, kama makahaba wanaojiuza wa kujipanga kujiuza nimetembea nao hawana idadi na barmaids kibao hawana idadi pia ( Kundi hili ni hatari zaidi) na wote hao sikutumia kinga nilifanya ngono zembe.
Ujanja wangu nikapatikana kwa binti wa miaka 18 tu akiwa mbichiiiii anawaka kama jua la saa sita, Nimekuwa nae hatimae akapata ujauzito na mpango wangu ulikua kumuoa kwasababu nilikolea haswaa, baada ya kujifungua ikapita miezi 7 akaniambia clinic ameambiwa amuachishe mtoto kunyonya kwasababu yeye ana Ukimwi. (Sijui ushujaa huu wa kuniambia alioutoa wapi)
Nikashangaa sana kwasababu nilikuwa nimetoka kupima sio muda nikiwa peke yangu... Hivyo nikaamua kumtaarifu mama yake juu ya taarifa hii kumbe wao wote huko kwao walikua wanafahamu habari hii ila mimi walikua wananificha na waliamini mimi ndio nimeleta ugonjwa kwa mtoto wao,
Baada ya mimi kulia na kupagawa sana nikaamua Kwenda kupima tukiwa wote mimi, mchumba wangu na mtoto pamoja na shahidi wa upande wa binti ambae ni mama yake mkubwa, vipimo vikawa mimi na mtoto ni wazima ila mchumba ni kweli hiv+.
Tokea hapo ndio niliitambua thamani yangu hapa duniani. hakika nimekoma tabia ya kuruka hovyo na wanawake bila tahadhari.
Enyi Madume menzangu mliopo kwenye ndoa kuweni na utaratibu wa kupima na wake zenu kwasababu lolote linaweza kutokea mtu ukajiokoa na maradhi haya.
Majibu ya mtu mmoja hayatoshi kuthibitisha afya yenu hasa tunavyowatumia wanawake kama vipimo vyetu wanapoenda clinic.
Tuwe makini bado tuna safari ndefu ya kuwafikisha watoto wetu katika ndoto zao.
mkuu kutembea na mtu mwenye hayo matatizo sio la,ima na weee upateHujaelezea kwanini wewe haujaupata sasa. Umeniacha njia panda apo.
ILA
Ipo siku hili Dili LA ukimwi wafrika tutajuaga ukweli wake tuuu ... kuna vitu najiulizaga juu ya huu ugonjw Sana.