UKIMWI upo, tambueni thamani yenu

UKIMWI upo, tambueni thamani yenu

Ila kuna watu wanajua kujifariji,yaani pamoja na elimu,shuhuda na vitisho bado kuna wanaodai kuwa Ukimwi haupo...!
Hauwezi fahamu hali waliyonayo wakati wanapokea ujumbe huu, uelewe tu kuwa hii ndio jamii ile ile baada ya kumaliza kuperuzi humu
 
Wakuu tujiwekee utaratibu wa kupima afya zetu. Tusiupe kipaumbele UKIMWI wakati kuna magonjwa mengine hatari kama

Kisukari, Cancer, Hepatitis B, Tuberclosis, Malaria na mengineyo.

Sijasema mpuuzie HIV AIDs hapana lakini pimeni magonjwa yote na mchukue tahadhari. Afya ni muhimu, uhai ni muhimu zaidi, chukua tahadhari mapema.
 
Asante
 
Mimi nikajua Kuna kitu kipya, kumbe ndo yale yale tu
 
CD4 zipo vzr japo hataki kuanza dawa na hajajikubali kwasababu hakutegemea kama jambo hili halijatoka kwangu, bado ni changamoto japo ni miaka 5 sasa
Duuu miaka 5 haukupata alafu sasa hivi ndio unajifanya kuogopa, ww hujioni kama ni mjinga fulani
 
Mkuu ukweli sijajua kwanini sijapata naamini ni mipango ya Mungu pekee alikuwa na malengo yake, kwasababu kuna wakati nilikuwa napata hadi michubuko na nilikuwa rafu sana kwenye hilo.
labda kibaiolojia kuna sababu za msingj zaidi
Ila kuna watu wana maambukiz lakini wakipimwa hawana.
Hyo ipo kabisa,kuna jamaa kasha ua kibao lakini yeye kila akichek hana. Na akitambea na demu anaambukiza.
Hapo sijuagi ni kitu gani kwa kweli
 
Nishasema ivi, raha ya dk 1 (when ejaculating) haiwezi nipotezea dira na mipango ya maisha ya miaka 70
Kaka hii kitu inatuharibu sana vijana, ni kheri uonekane hujui lolote lakini ujue thamani yako,
Kabla ya kuoa niliambiwa nipime na mchumba wangu, siku hiyo nilikosa amani mno...
Kikubwa watu wajitambue
 
Kilichokuuma ni kipi hasa? ulitaka kusikia naelezea gonjwa la ini au kansa? Wewe haikufai ila kuna watu itawasaidia, hivyo hatuwezi kuwa sawa watu wote.
Post ya kitoto.watu wanamagonjwa ya deadline wewe unakuja na ka ukimwi.aya nakushaur kapime Tena na Tena
 
Ila kuna watu wana maambukiz lakini wakipimwa hawana.
Hyo ipo kabisa,kuna jamaa kasha ua kibao lakini yeye kila akichek hana. Na akitambea na demu anaambukiza.
Hapo sijuagi ni kitu gani kwa kweli

hii case ipo kweli wazee
 
Back
Top Bottom