NakaziaMkuu nimepitia maelezo yako lakini ni kama mchumba wako huwenda anahili tatizo kitambo na hakutaka kukwambia maana mwanamke akishapata ujauzito mwanzoni kabisa kliniki anachekiwa ili kujua status yake kama anatatizo wanaanza utaratibu wa elimu na kumsaidia asipeleke maambukizi kwa mtoto,sasa kwanini akae kipindi chote hadi ajifungue na anyonyeshe kwa miezi 7 ndio aache kunyonyesha na kukwambia?
Kuhusu wewe kutopata maambukizi huwenda huyo binti alijijua kitambo hari yake na akawa katika mpangilio mzuri wa dawa,wanadai mtu akiwa katika mpangilio mzuri wa dawa kwa kipindi cha muda fulani mwanaume akija kumwingia peku hawezi pata tatizo,hebu fanya kuchunguza.
Nilikuwa na demu nimekula peku sana niliambia ana ngoma kila nikipima nasubiri miezi 2 naenda kupima tena leo ndio ya mwisho sipimi tena itakuwa nipo poa




Mkuu unamaanisha hili liligundulika maka 5 iliyopita na mkeo hajaanza dawa za ARV?CD4 zipo vzr japo hataki kuanza dawa na hajajikubali kwasababu hakutegemea kama jambo hili halijatoka kwangu, bado ni changamoto japo ni miaka 5 sasa
Ameen mkuuMpenzi wangu wa sasa ndio wa kwanza ananisisitiza niende nae kupima. Ananipenda sana ila nafsi yangu inasita kweli kwenda pima.
Wiki hii napiga moyo konde naenda ila siendi nae, nitaenda kivyangu kwanza kisha majibu yakiwa mazuri nitamchukua nikapime nae sehemu nyingine.
Majibu yakiwa mazuri NAAPA nitaanza kwenda kanisani na nitamuoa huyu binti anayeonekana kunijali na nitatulia nae na pia nitaanza maisha mapya kwa kuachana na marafiki zangu wa sasa ambao kwa kweli sio wa kuwa nao. Nitabadili namba za simu na kuhama kabisa hata mkoa na kwenda anza "upya". Kuhama sio ishu, bado nitakapohamia nina mizizi hivyo haitakuwa ngumu. Kikubwa hili genge langu haliwezi fika huko. NIMEDHAMIRIA, MUNGU niongoze.
Ni kweli nina "O"
Nimesoma comments zake zote jamaa anajichanganya Sana ni stori tu aliyoamua kuja kuifuraisha JF.
Ulichouliza ndicho kilichomuumbua, mjamzito akishafungua kadi hapo hapo wanampima HIV.
Ukitoa nitag...Haupo kabisa ni psychological problem au mindset. Nitakuja kutoa ushuhuda wangu siku moja.
Mkuu usiku wote huu unataka aku tagUkitoa nitag...

Anytime akitoa ushuhuda, now ndio nilikuwa naperuzi...Mkuu usiku wote huu unataka aku tag![]()
Pamoja sana mkuuAnytime akitoa ushuhuda, now ndio nilikuwa naperuzi...
watu wengine wanafikiri kila mtu hapa jf ni jingaHekaya za Abunuasi yaani clinic wamekuja kujua kwamba mama ameathirika baada ya miezi 7? What a crap?
Ni kweli nina "O"
Hakika miujiza ipo.Hebu fikilia mtu katwangwa risasi 30 nk na yupo hai na yule wa risasi moja amezikwa na tumemsahau.
Test and treat is the current approachKwa hiyooo Umemuanzishia Dozi Za Arv Shemeji Au Cd4 bdo Zpo Imara?