UKIMWI upo, tambueni thamani yenu

UKIMWI upo, tambueni thamani yenu

Alipimwa ila zile mambo za wewe nenda mimi nipo busy ndio sababu ya haya yote. alipata majibu akakaa kimya na mimi sikuuliza majibu ya vipimo kwasababu nilijijua nipo salama
Anhaa...
 
Hujaelezea kwanini wewe haujaupata sasa. Umeniacha njia panda apo.

ILA

Ipo siku hili Dili LA ukimwi wafrika tutajuaga ukweli wake tuuu ... kuna vitu najiulizaga juu ya huu ugonjw Sana.
Hii ni mojawapo ya faida ya kumiliki kibamia...
 
Hujaelezea kwanini wewe haujaupata sasa. Umeniacha njia panda apo.

ILA

Ipo siku hili Dili LA ukimwi wafrika tutajuaga ukweli wake tuuu ... kuna vitu najiulizaga juu ya huu ugonjw Sana.
Ukiwauliza wataalam wa afya huwa wanasema kuna baadhi ya damu huwa si rahisi kukubali maambukizi ya aina yoyote kirahisi.nadhan ni group O.

Namfaham mzee mmoja alimzika mkewe kwa nngoma ila yeye hakuwa nao,nadhan ni vitu vinavyowezekana.
 
Hongera mshukuru mungu Sana nimekuelewa vema Sana ila kuna wengine hawasom vizur wanakurupuka tu kukoment
 
Ukiwauliza wataalam wa afya huwa wanasema kuna baadhi ya damu huwa si rahisi kukubali maambukizi ya aina yoyote kirahisi.nadhan ni group O.

Namfaham mzee mmoja alimzika mkewe kwa nngoma ila yeye hakuwa nao,nadhan ni vitu vinavyowezekana.
Vibamia vinawaokoa...
 
aaaaaahhh mzee bb si useme tu una ngwengwe mbna hatutakunyanyapaa kuamin ww hujawaka ni sawa na kuamini bashite hausiki na utekaji wa mooo.
 
Back
Top Bottom