UKIMWI upo, tambueni thamani yenu

UKIMWI upo, tambueni thamani yenu

Nilikuwa na demu nimekula peku sana niliambia ana ngoma kila nikipima nasubiri miezi 2 naenda kupima tena leo ndio ya mwisho sipimi tena itakuwa nipo poa
Ha ha haa kupata sio lazima mara 2 ili tosha kuamini.pole sana

Hem tupe mbinu mpaka ukasalimika
 
Ila kuna watu wanajua kujifariji,yaani pamoja na elimu,shuhuda na vitisho bado kuna wanaodai kuwa Ukimwi haupo...!
 
Back
Top Bottom