UKIMWI umeua wengi jamani

Acheni ngono zembe na mkiweza msubiri,Mi sasa hivi nshaamua sidate na mwanaume hadi tukapime..Maana kuna watu nliwahi kuambiwa wameathirika sikuamini..Sasa ntajuaje kwa mtu wa kukutana nae njiani??

Nipo tayari kupima bibie,nicheki PM
 
Mkuu niombee na mimi nipunguze maana shetani naona yuko uvuguni mwangu.

Pole sana aisee.... Ni kwa msaada wa Mungu pekee utaweza kuvuka hapo... Endelea kuomba Mungu na pia tafuta Kanisa la kiroho kwa ajili ya maombi na Deliverance kama kweli unamaanisha uhitaji wa hiyo hali kuondoka katika maisha yako. Kwa akili zako na utashi pekee havutakusaidia kutoka hapo ulipo.... Ni kwa uwezo wa Mungu pekee utavuka hapo.
 
Kiukweli mpaka nimeishiwa na nguvu.nakumbuka nlivyompoteza my sister. Na baadae nikaja kujua kumbe na Dada angu mwingine nae anatumia ARV.naumiaga Sana.ila yy hajui Kama mm najua.naliaga sana

Huu ugonjwa upo jamani.... Upo na utaendelea kuwepo kwa sababu mabadiliko ya tabia ni maamuzi binafsi..... Acha asilimia ndogo sana wanaoupata kwa njia nyingine za maambukizi.
 
Kelele nyingi alafu pumba tupu.

Endelea kubaki kizani.

Propaganda ya wenye biashara hii ndio iliyo kuathiri.
 
Kiukweli mpaka nimeishiwa na nguvu.nakumbuka nlivyompoteza my sister. Na baadae nikaja kujua kumbe na Dada angu mwingine nae anatumia ARV.naumiaga Sana.ila yy hajui Kama mm najua.naliaga sana
pole sana mkuu umenisikitisha ila Mungu atakupa faraja tuu.
 
Hivi kweli Condom inazuia ukimwi? Mbona watu wengi wanatumia ila pia inaenda sambamba na utumiaji wa ARV?

Maswali kama hayo ukijiuliza kama 10 utaanza kuiona kweli ya biashara hii.

Tatizo binaadam tunatofautiana uwelewa.
 
hakika Mwenyezi-Mungu amponye ndugu yetu na sisi pia.

haki
 
Kelele nyingi alafu pumba tupu.

Endelea kubaki kizani.

Propaganda ya wenye biashara hii ndio iliyo kuathiri.
sawa tuu acha niendelee kubaki katika njia ya ukweli. we na elimu yako kubwa ambayo ni ujinga mtuu ushindwe usije potosha watu hata kama vipi nikuwekeee damu yenye virusi vya hiv vya kutosha halaf tuone matokeo.
 
Ha ha ha nimecheka sana mpaka wifi yako ameni shangaa!!!!!

Uniwekee nini??? Damu yenye H I V??

Dah! Umeona ufaham wako ulivyo mdogo kwenye swala hili?

Inaonyesh wengi munao lishupalia jambo hili hamuna ufaham nalo ,,na munavyo litukuza ndivyo munatumika katika kuwajaza ujinga na wengine.
 
Kiukweli mpaka nimeishiwa na nguvu.nakumbuka nlivyompoteza my sister. Na baadae nikaja kujua kumbe na Dada angu mwingine nae anatumia ARV.naumiaga Sana.ila yy hajui Kama mm najua.naliaga sana
Unalia nn sasa Angekuwa na Kansa?!
 
mkuu nimeipenda id yako, huenda ndio maana mzungu akapendekeza ushow love
 
Ugonjwa umekaa mahala pabaya.

Kila mtu apataka
 
hivi mtu anaweza kutembea na muathirika wa ukimwi kwa kufunga goli moja tu ila na huyo mtu asiupate???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…