UKIMWI umeua wengi jamani

Watu wanachukulia poa sana asikwambie mtu ngwengwe ni noma aisee isikie kwa mwenzako niliwahi pitia demu anao mwaka mzima niliishi kwa hofu na mashaka nashukuru Mungu nilikuwa salama na sahv ujinga wote niliacha nina mke na soon ntakuwa baba ushauri wangu kwa vijana kama unapenda nyapu na unayapenda maisha yako tulia tu ila kama huwezi usipige bao zaidi ya 1 na hakikisha demu umemchezea vya kutosha do this at your own risk
 
mawazo yako mazuri mkuu bila kusahahbcondomu inasaidia sana wengi.
 
Mkuu niombee na mimi nipunguze maana shetani naona yuko uvuguni mwangu.
 

Nimekosa maneno ya kukuambia, ila hakika uelewa wako utakuwa mdogo sana
 
Una fikra finyu sana na si ajabu utakufa Kwa ukimwi
 
Bado wewe
 
Jamani tuangalie na maoni yetu kuna watu pia wameathirika sasa ikawa nao wanasoma haya maoni inakuaje
Na wapo wengi sana. Hii topic ni mwiba mchungu, lakini huwezi kuacha kuielimisha jamii kisa kuna watu humu na wameathirika.

-Be faithful to your partner.
-Abstain completely from sex and sexual activities.
-Use preservatives.
 
Kiukweli mpaka nimeishiwa na nguvu.nakumbuka nlivyompoteza my sister. Na baadae nikaja kujua kumbe na Dada angu mwingine nae anatumia ARV.naumiaga Sana.ila yy hajui Kama mm najua.naliaga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…