UKIMWI (HIV) isikutenganishe wewe na mwenza wako

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Feb 9, 2019
872
1,023
Poleni sana ndugu zangu watanzania kwa tatizo la mtandao wa internet linalowakumba kwa wakati huu.

Pia hongereni timu ya wananchi kwa kutwaa ubingwa wenu wa 30.

Pia nachukua fursa hii kuwapa pole na waliokutwa na kimbunga hidaya.

Na ndugu zangu wa Rufiji, Arusha na Morogoro sijawasahau kuwatakia pole za mahafa ya mafuriko yaliyotokea mwezi machi na yanayoendelea hivi sasa.

Pia kwa ndugu zangu wa Arusha niwape pongezi sana kwa kupata kiongozi bora Paul Makonda, ama kwa hakika ni kiongozi mzuri na wa kipekee tumieni vizuri fursa hio.

Kwa kusema hayo sasa tuendelee na mada yetu.

HIV ISIKUTENGANISHE WEWE NA MWENZA WAKO.

Ndugu yangu usiache mkeo eti kisa ana UPUNGUFU WA KINGA MWILINI. Asilimia kubwa ya waliowakimbia wenza wao pia walikuja upata tu siku za usoni.

Ukimwi upo haukimbiliki.

Kikubwa ni kufuata ushauri wa daktari na kuendelea na njia sahihi katika maisha yenu.

@Everyone
 

Attachments

  • pm_1714811348547_cmp.jpg
    pm_1714811348547_cmp.jpg
    6.5 KB · Views: 4

Similar Discussions

Back
Top Bottom