Ukimsujudia shetani atakupa utajiri?

2 kor 4:4.
Shetani ndiye mungu wa duniani.
YESU hagawi utajiri hapa duniani ingawa wahubiri wahuni na washenzi wanawadaa watu kuwa Mungu anatajirisha watu hapa duniani.
Mungu anabariki tu usiishi kwa kumkufuru maana umaskini ukizidi kufuru hufuata.
 
Katika kusoma soma kwangu kwenye hiki kitabu 'biblia' nikakutana na maneno haya ''Kwa mara nyingine, ibilisi akamchukua Yesu mpaka kwenye kilele cha mlima mrefu na kumwonyesha falme zote za dunia na fahari zake, kisha akamwambia, “Nitakupa hivi vyote kama ukinisujudia na kuniabudu.’’

Sasa najiuliza, hawa wote wanaomiliki fahari za dunia, wameamua kumsujudia shetani, na shetani naye akawapa utajiri?

Je, shetani ana mamlaka gani ya kumiliki mali zote za dunia?
Watafute DP WORLD
 
2 kor 4:4.
Shetani ndiye mungu wa duniani.
YESU hagawi utajiri hapa duniani ingawa wahubiri wahuni na washenzi wanawadaa watu kuwa Mungu anatajirisha watu hapa duniani.
Mungu anabariki tu usiishi kwa kumkufuru maana umaskini ukizidi kufuru hufuata.
Kwa hoja yako ina maana Mungu anapenda umasikini?

Nauliza tuu hata kama jibu ninalo kwenye maandiko..
 
Asikudanganye MTU shetani hana utajiri yeye anaiba utajiri kwa watu hana kipawa cha kutoa baraka kwa watu, shetani na mawakala zake ni walaaniwa hastahili kusujudiwa hata kuabudiwa
 
Back
Top Bottom