Mjue Sulutani Hassanal Bolkiah, Tajiri wa Matajiri

Aigle

JF-Expert Member
Jul 4, 2020
711
6,187
Unasema una pesa,..una hela wewe? Kuna watu wana pesa bwana.

Hua nawashangaa watu mnaokumbatia UMASKINI, eti mimi natosheka na shilingi mia mbili mbili zangu, huna akili,,

Huyu mwamba kwanza ana utajiri wa Trilioni 60 pesa za madafu yenu, ana magari elfu saba ambayo karibia yote yamenakshiwa kwa dhahabu

Ana kinyozi wake ambaye hua anamsafirisha kwa ndege kila siku kwenda kumnyoa akitokea Uingereza, ambaye gharama za kinyozi ni Milioni 40 pesa za madafu yenu, ana ndege iliyonakshiwa kwa dhahabu za kutosha yenye thamani ya pesa za madafu Bilioni 150, hio ni moja tu anayoipenda kati ya 200 alizonazo.

Namaliza hivi,

Kisha Shetani akamwongoza Yesu mpaka kwenye kilele cha mlima ulio mrefu sana na kumwonyesha falme zote za ulimwengu na vitu vya kupendeza vilivyomo ndani. Shetani akamwambia Yesu, “Ukiinama na kuniabudu, nitakupa vitu hivi vyote."

Nimemaliza.
 
Mkuu asante kwa Bandiko lenye viashiria vya Uchawa ndani yake.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
ILA MWISHO WA SIKU UNAKUFA UNAZIACHA MALI NA UTAJIRI WOTE HUU,DAH HIKI KIFO BANA KWELI NI KIBOKO YA MWANADAMU

ova
 
So what!!!anakunya as any one,wipe his own ass,na atakufa.Ila niulize hayo magari elfu 7 ambayo hata hayaendeshi yanamsaidia nn?Hii Dunia imejaa wapuuzi.
 
Ladha.
Screenshot_20231219-223101.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom