Ukimkataa Mwanamke una hali mbaya sana

Ukimkataa Mwanamke una hali mbaya sana

et makaghare" umenikumbusha enzi za dj afro amingos😆😆😆 enzi za utoto wangu nimeangalia movie zake za kutosha
Kuna mobaruya mmoja alisemaga,
Ulimlayi mwana wefe..,
Nakumbolela..
nakumbolela sana mwana wefe. 😂
 
oooh hapo sawa,, sema saivi washajitokeza madj uchwara wamemuigilizia sauti mpka wanaboa, na sijui kama bado anaendelea na kazi yake au kashaacha maana ni muda kweli
Siavi tumeamia ulimwengu wa movies ziszo tafsiriwa, hakuna namna
Warusha movie ni vijijini huko ndio wanaangaika na madj wa sasa
 
Siavi tumeamia ulimwengu wa movies ziszo tafsiriwa, hakuna namna
Warusha movie ni vijijini huko ndio wanaangaika na madj wa sasa
yeah ni kweli kwanz madj ni waongo mnoo walikua wanatulisha matango pori😅😅😅
 
Back
Top Bottom