Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 14,523
- 27,016
we unafikiri wakifanya paper itakuwaje ??? kama hutacheka basi huna akili timamu.
Unafikiri kuwa profesa ni kujua kila kitu! Assad na Supika hiyo pepa iwe ya 'field' gani?
Kama akili timamu ndo hizo basi endelea kujichekesha.