prof assad

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali Msigwa, ashindwa kujibu tuhuma nzito za CAG Mstaafu Prof Assad, juu ya Waziri mwenye ukwasi wa kutisha!

    Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ,Sanaa,, Utamaduni na Michezo, ameshindwa kiaina kujibu tuhuma nzito alizotoa CAG Mstaafu Prof Mussa Assad juu ya Waziri mmoja kijana mwenye ukwasi wa kutisha, alioupata ndani ya miaka mitano ndani ya serikali. Jibu la Msemaji...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Prof Assad amewaumbua vibaraka wa mafisadi wa CCM ambao walimsingizia hayati JPM kukwapua tril 1.5

    Hii nchi imejaa watu waovu kwa asilimia 70. Hawalitakii mema taifa lao. Ndio maana hayati Magufuli alipodhibiti ufisadi wao walimfanyia fitina za kila namna. Na hata mpaka leo hii hakuna anayeamini kama alifariki kwa natural death. Walisambaza uongo usiokuwa na maana kuwa alikwapua tril 1.5 na...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Sigda ni ya Prof Assad tu, ile kwenye paji la uso wa Kailima ni kovu tu. Hapaswi kuswali swala 5 yule.

    Kwenye Waislam waliowahi kufanya kazi Serikalini na hawa wanofqnya kazi kwenye Taasisi za Umma sasa, naweza kusema Muislam pekee ninayemuamini na kumuona ni muislam kweli ni Prof. Assad. Huyu jamaa kwa kusimamia kweli ya dini yake alishindwa kufanya kazi na madhalim CCM. Yule nina uhakika hata...
  4. Bezecky

    JamiiForums Tanzania PICHA: Kumbe Prof Assad ni MwanaCHADEMA

    Kumbe Magufuli alipomng'oa huyu CAG Mstaafu kabla ya wakati na kwa kinyume Cha Sheria alimfahamu kuwa ni Mwanachama wa CHADEMA!!
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Musa Assad(CAG) aibukia CHADEMA, atoa mafunzo

    Leo tarehe 12 Machi 2025 Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad ametoa mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa Chama wakiwemo Wajumbe wa Kamati Kuu, Sekretarieti ya Kamati Kuu, Makatibu wa Kanda na Viongozi wengine Prof Musa Juma Assad CAG mstaafu...
  6. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Inashangaza pale ambapo Profesa Assad anapozungumzia kuhusu kuondolewa kwake kinyume cha katiba, watu wengine wanasema eti akubali matokeo

    Friends and Our Enemies. Nimeona Mjadala kumuhusu aliekuwa CAG Ngangari kabisa kuwahi kutokea ndani ya TAIFA HILI ukiendelea mitandaoni hususani hapa JF. Hii imekuja baada ya yale mahojiano baina yake na mtangazi wa Crown Tv Salim Kikeke katika kipindi chake cha Kasri la kikeke...
  7. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

    Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad aliumia sana kuvuliwa u-CAG. Mpaka leo namwona bado ana chuki kubwa sana. Tatizo ni nini?

    Hata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa. Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ukimfuatilia Prof Assad utagundua si mtu smart kama ambavyo watu walidhani

    Wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa profesa Mussa Assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. Ni mtu mropokaji, ambaye inawezekana akawa na akili lakini akawa hana busara au hekima. Ukimsikiliza katika maongezi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania January Makamba, Lissu, Mbowe na Profesa Assad kwa akili walizonazo hawakupaswa kuzaliwa Tanzania

    Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini kwenye taifa hili la wajinga. Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizindua kampeni...
  11. JBube

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu fuateni Utawala Bora

  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Sitapiga tena kura labda mfumo uwe wa kidigitali

    Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura. Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi. Aidha amesema...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Ya Dr. Mwele Malecela na Prof. Mussa Assad

    Ni dhahiri sakata la CAG Prof. Mussa Assad na bunge ni kama vile moto ambao hautaki kuzimika, na bado ni sintofahamu hatma yake nani ataibuka kidedea. nawaza kwa sauti kama linaweza kutokea kama kilichotokea kwa Dr. Mwele Malechela. Serikali ilimpiga fitna weeee kisa kasema ukweli, hatima...
  14. S

    JamiiForums Tanzania History will judge you as a man of honour Pof. Assad - Mwele Malecela

    While this is a truly dark cloud in our nation's history you have shown that people of integrity still exist and that you are one of them! History will judge you as a man of honour Prof Assad. #IStandWithCAG
Back
Top Bottom