Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,341
- 11,443
- Thread starter
- #41
upo sahihi kabisa. prof mwenye akili hawezi jisifu anaacha kazi yake mwenyewe ionekane si kuongea kwa kuonesha kuwa yeye ni somebody. hapo alipoteza umakini kabisa. alipasw aawe humble asimamie anachoamini kwa hekima na heshima.Mtu mwenye High IQ hawezi kujisifu hata siku moja, bali huacha kupitia kazi yake watu wamsifu, hivyo mimi kwangu sijaona chochote kwa huyu ,,Profesa“ usisahau kwamba neno Prof. Tanzania liko misused sana, wengi wao wanaojiita Prof. hawawezi kupata chair yoyote popote pale Duniani ya kufanya research ya maana, ni kisiasa zaidi.