Ukikosea hapa' wewe kwisha!!

Ukikosea hapa' wewe kwisha!!

Interesting muke mubayaaa small house miss Africa. Inferiority complex

life goes on' hamna cha inferiority complex hapo na silazima awe mbaaaaya kama ulivyoelewa ww' aweza kuwa bomba kwashape, sura na tabia' na ikiwa hivyo weka ndani fasta.
 
Pole kwa wote wliooa VITU badala ya wake zao, maana maisha ya ndoa kwao ni mzigo mzito
 
ni kweli kabisa ili kuepuka POST TRAUMATIC STRESS DISORDER na umri huu inabidi umgeukie wa kujifunika kwa shuka. Mie namtafuta mmojawapo. je unamjua mmojawapo?

Mangi1 binafsi nimemuona ndo naendelea kum-interprete
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke tabia bwana kama uzuri,sura na rangi hata midoli ya maduka ya nguo wanayo.
 
Mna kazi, unataka mke mcha wakati wee mcha shetani?
 
mwanaume mahela sura kuvumiliana

na ujue kuwa matakuwa kama kumi hivi mnaongozana kama ukiangalia hizo fedha...mwisho utazitumia kununua arv. Tatizo wasichana wanadhani wanaume hatujui kama mnafuata pesa.....thats y mnakuwa kama sita , saba hv...u want money, then ukubali kushea
 
wengine bado tupo tupo...rangi,sura ,shepu ndo mpango mzima
 
na ujue kuwa matakuwa kama kumi hivi mnaongozana kama ukiangalia hizo fedha...mwisho utazitumia kununua arv. Tatizo wasichana wanadhani wanaume hatujui kama mnafuata pesa.....thats y mnakuwa kama sita , saba hv...u want money, then ukubali kushea

Chondechonde wadada wenye mawazo kama ya zahra white naomba muisome hata mara tano hiyo nukuu ya Emmadogo hapo juu!! umetisha mkuu!!!
 
Pamoja na vitu hivyo uzuri na shape ni muhimu otherwise utaendelea kutokwa na midenda kwakutamani mademu wa wenzako.
 
Pamoja na vitu hivyo uzuri na shape ni muhimu otherwise utaendelea kutokwa na midenda kwakutamani mademu wa wenzako.
Nilijua tuu' my w funika bovu akipita kila pande watu wanamsifia zaid yamim nilivyomsifia Myface' na ichanganue hii kamba mara mbili, hakuna sehem nimeandika kwamba my w' mbaya. take care!!!
 
sema tatizo watu wengi wenye suira mbaya huwa wana roho mbaya kama sura zao! sijui hii ipoje! mtu mbaya awe na roho safi sijaonaga!
 
Sasa mbona ww unanigomea kuingia ndani...rare material??!
mwanamke sura na shape tabia tutarekebishana! mwanaume pesa na fwedha sura na vibamia tutavumiliana!
 
sema tatizo watu wengi wenye suira mbaya huwa wana roho mbaya kama sura zao! sijui hii ipoje! mtu mbaya awe na roho safi sijaonaga!

Tabasamu wee..' linaukweli hilo? kwamba walivyo wabaya usona hata mioyo yao ipo hivyohivyo? mm' nna mashaka kidogo nahilo ngoja nifatilie.!!
 
Tabasamu wee..' linaukweli hilo? kwamba walivyo wabaya usona hata mioyo yao ipo hivyohivyo? mm' nna mashaka kidogo nahilo ngoja nifatilie.!!
haki tena fuatilia ! hili gemu hakuan cha sura wala nini mkuu ukiingia chaka inakula kwako! piga magoti utapata sura mbovu tabia mbovu sijui utapumzikia wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom