Ukikosea hapa' wewe kwisha!!

Zyamwelele

JF-Expert Member
Aug 5, 2013
405
153
Kwa mtazamo wangu' mwanamke wa kuoa kwanza awe na nidhamu, awe anajitambua, ajiamini na mcha Mungu! Shape, sura na rangi hizi mbwembwe tu' ukitaka kufa kabla ya wakati wako jaribu hii'' oa kwa kuzingatia shape, sura au rangi. kama kama hatutakuzika mapema kwa sababu ya presha' ikikukosa presha basi utapoteza nguvu za kiume kwasababu ya stress!!!! Mwanamke mcha Mungu, nidhamu, kujiamini na kujitambua kwanza'' shape, sura na rangi vinafuata. Hapo vip?
 
kwa hyo wale wazur wa shape,sura na rangi wameshaptwa na wakati.2siwaoe mpaka wawe na sifa mbadala...komesho
 
kwa mtazamo wangu' mwanamke wa kuoa kwanza awe na nidhamu, awe anajitambua, ajiamini na mcha mungu!

Shape, sura na rangi hizi mbwembwe tu' ukitaka kufa kabla ya wakati wako jaribu hii'' oa kwa kuzingatia shape, sura au rangi. Kama kama hatutakuzika mapema kwa sababu ya presha basi utapoteza nguvu za kiume kwa stress!!!!

Mwanamke mcha mungu, nidhamu, kujiamini na kujitambua kwanza'' shape, sura na rangi vinafuata.
Hapo vip?
shape na sura hata mbuzi wanavyo
 
kwa hyo wale wazur wa shape,sura na rangi wameshaptwa na wakati.2siwaoe mpaka wawe na sifa mbadala...komesho

Akiwa na shape nzuri, sura nzuri na akawa sio mcha Mungu, hana nidham na hajiamini' basi mm nakushauri fanya kiburudisho tu!! ila kama anakidhi vigezo, anashape na sura nzuri weka fasta ndani maana ujue anawindwa balaa kwasababu wapo wachache wenye vigezo vyote.
 
natamani vijana wetu wa leo waone hilo, ..beyond what the eye sees

mkuu hawa vijana wa digitali wao wanaona sifa wakiongozana na walimbwende (maisha ya kuigiza) lakini maisha ya ndoa kitendawili kwao.
 
Yeah! Kama Christine Ibrahm vile n mcha Mungu,nidham na anajiamin.........
 
Kwa mtazamo wangu' mwanamke wa kuoa kwanza awe na nidhamu, awe anajitambua, ajiamini na mcha Mungu! Shape, sura na rangi hizi mbwembwe tu' ukitaka kufa kabla ya wakati wako jaribu hii'' oa kwa kuzingatia shape, sura au rangi. kama kama hatutakuzika mapema kwa sababu ya presha' ikikukosa presha basi utapoteza nguvu za kiume kwasababu ya stress!!!! Mwanamke mcha Mungu, nidhamu, kujiamini na kujitambua kwanza'' shape, sura na rangi vinafuata. Hapo vip?
ni kweli kabisa ili kuepuka POST TRAUMATIC STRESS DISORDER na umri huu inabidi umgeukie wa kujifunika kwa shuka. Mie namtafuta mmojawapo. je unamjua mmojawapo?
 
Mie nataka vyote mzuri,mcha Mungu,anajielewa,anapenda familia zote n.k

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
ni kweli kabisa ili kuepuka POST TRAUMATIC STRESS DISORDER na umri huu inabidi umgeukie wa kujifunika kwa shuka. Mie namtafuta mmojawapo. je unamjua mmojawapo?

mkuu yuleyule ambaye anajipendekeza kwako we unampotezea' eti unajifanya she is not your type!!! angalia ndo unapoteza mke mwema hivo.
 
Mi wakwangu hana shep. Hana nidhamu ni mweusi. Tena ananipa stress

Pole''
lakin haujaielewa vizuri hii thread'' nihivi kigezo sio ubaya wala uzuri bari nidham, kujiamin, kujitambua na kumcha Mungu' nimesomeka?
 
Mwanamke sura bwana, tabia tunarekebishana.

bora awe anakubali mabadiliko' lakin kwanijuavyo mm mwizi ni mwizi tu akirekebishwa atapunguza wiz au atajifanya (pretend) ameacha kwa mda baadae anaendelea kama kawa' kama mbishi jaribu hiyo.!!!!
 
Mbona kizungumkuti hapa!!!
Hivi waschana wasio na maumbo mazuri + sura nzuri Hawana tabia mbaya????
....
Tuangalie Tabia njema in genero na tabia mbaya in genero!!!!
Kuwa murembo SI kuwa na tabia mbaya!!
Nadhani tumuelewe vizuri muanzisha mada!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom