Zyamwelele
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 405
- 153
shape na sura hata mbuzi wanavyokwa mtazamo wangu' mwanamke wa kuoa kwanza awe na nidhamu, awe anajitambua, ajiamini na mcha mungu!
Shape, sura na rangi hizi mbwembwe tu' ukitaka kufa kabla ya wakati wako jaribu hii'' oa kwa kuzingatia shape, sura au rangi. Kama kama hatutakuzika mapema kwa sababu ya presha basi utapoteza nguvu za kiume kwa stress!!!!
Mwanamke mcha mungu, nidhamu, kujiamini na kujitambua kwanza'' shape, sura na rangi vinafuata.
Hapo vip?
Asante mkuu!! na sio kuwa navyo tu' pia vinatengenezwa.shape na sura hata mbuzi wanavyo
kwa hyo wale wazur wa shape,sura na rangi wameshaptwa na wakati.2siwaoe mpaka wawe na sifa mbadala...komesho
natamani vijana wetu wa leo waone hilo, ..beyond what the eye sees
ni kweli kabisa ili kuepuka POST TRAUMATIC STRESS DISORDER na umri huu inabidi umgeukie wa kujifunika kwa shuka. Mie namtafuta mmojawapo. je unamjua mmojawapo?Kwa mtazamo wangu' mwanamke wa kuoa kwanza awe na nidhamu, awe anajitambua, ajiamini na mcha Mungu! Shape, sura na rangi hizi mbwembwe tu' ukitaka kufa kabla ya wakati wako jaribu hii'' oa kwa kuzingatia shape, sura au rangi. kama kama hatutakuzika mapema kwa sababu ya presha' ikikukosa presha basi utapoteza nguvu za kiume kwasababu ya stress!!!! Mwanamke mcha Mungu, nidhamu, kujiamini na kujitambua kwanza'' shape, sura na rangi vinafuata. Hapo vip?
ni kweli kabisa ili kuepuka POST TRAUMATIC STRESS DISORDER na umri huu inabidi umgeukie wa kujifunika kwa shuka. Mie namtafuta mmojawapo. je unamjua mmojawapo?
Mi wakwangu hana shep. Hana nidhamu ni mweusi. Tena ananipa stress
Mwanamke sura bwana, tabia tunarekebishana.
Mwanamke sura bwana, tabia tunarekebishana.