Ukikataliwa Pm, hasira usilete Jukwaani

Ukikataliwa Pm, hasira usilete Jukwaani

Verifaidi yuza wote njooni hapa nawaita mbwa nyie kwann mnamsumbua mrembo Nusrat? 😹😹

Hamjui kukataliwa? Hivi Vincenzo Jr si verifaidi huyu? Si yeye kweli?
Hebu wataje tuwasuuze mahi..!! 🤣

Mi napenda umbea motroo motroo km huu jamani..!!
Majirani huku 🤣😹😹
Sio mimi 😀😀😀
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂 Nshamjua tu ni yule mfupi alfu ana kitambi ,namuonaga kule wanakotupia picha
Ila ungempotezea tu.
Aisee Dah!😀😀😀😀
 
Naona hii tabia imeota mizizi sasa.

Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.

Usidanganyike na Profile pic yangu.

Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.

Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.

Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.

Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.

Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Haya bidada, na mimi nakuja pm kukutongoza, ukinikataa nakuja kudislike posts zako, bora unikubalie tu.
 
Back
Top Bottom