Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 970
- 2,360
Basi nisamehe myNilisha block wajinga wajinga wote hivyo naomba msinihusishe kwenye maujinga ujinga ya watoto wa 2000
Basi nisamehe myNilisha block wajinga wajinga wote hivyo naomba msinihusishe kwenye maujinga ujinga ya watoto wa 2000
Mm mwanamke napenda umbea,sasa mwanaume wangu akiwa mbea takuwajeSas we mbona upo mtandaoni
Kwani mtandaoni kuna umbea pekee?Mm mwanamke napenda umbea,sasa mwanaume wangu akiwa mbea takuwaje
Naingia kulala Bai 🖐️Kwani mtandaoni kuna umbea pekee?
KaribuNaingia kulala Bai 🖐️
Punguza maswali mengi kijana, zama pm.Karibu
Wapo pm mkuu naona wanashambulia wakitokea pembeniwasomi watakua wamelala jamaa wanalalaga mapema sana
Sio kwa huyo kesho una anzishiwa uziPunguza maswali mengi kijana, zama pm.
DaahNaona hii tabia imeota mizizi sasa.
Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.
Usidanganyike na Profile pic yangu.
Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.
Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.
Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.
Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.
Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
TAPELI huyo mwnamkeSas we mbona upo mtandaoni
Bei ganiNaona hii tabia imeota mizizi sasa.
Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.
Usidanganyike na Profile pic yangu.
Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.
Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.
Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.
Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.
Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Kashaliza watu?TAPELI huyo mwnamke
HapanaKashaliza watu?
Poa poaHapana