Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,482
- 65,799
min -me ana kusumbua vip tenaId yako halafu unaniuliza tena mimi pia kuna huyu min_me ni msumbufu hakuna mfano
min -me ana kusumbua vip tenaId yako halafu unaniuliza tena mimi pia kuna huyu min_me ni msumbufu hakuna mfano
Mshamba mmoja,kuna mahali nimepost picha yangu ye kutwa kunisumbuamin -me ana kusumbua vip tena
Mtoto yupi kaka huyu ninaechat nae au wa huku home?Ishi na mtoto huyo mbona majonzi mengi
🙏🙏🙏Mmh sawa
Uchunguz naanzaNgoja tufukue makaburi...
Verified na anayedislike post za mrembo...
Ila mary 😂😂Mshamba mmoja,kuna mahali nimepost picha yangu ye kutwa kunisumbua
😂😂 kasema una msumbua sanaNina husikaje na hao watu mkuu? Wanawake ninawasiana nao humu ni watu najuana nao na nikikazi tu
Nan kasema ?😂😂 kasema una msumbua sana
Mara aniite mswahili,mchafu yaani anachuza mno,halafu ana dharau SanaIla mary 😂😂
MaryNan kasema ?
😂😂 we una penda mwanaume wa aina gani?Mara aniite mswahili,mchafu yaani anachuza mno,halafu ana dharau Sana
Nilisha block wajinga wajinga wote hivyo naomba msinihusishe kwenye maujinga ujinga ya watoto wa 2000Mary
Heshima yako boss 👏Nilisha block wajinga wajinga wote hivyo naomba msinihusishe kwenye maujinga ujinga ya watoto wa 2000
Anayeniheshimu,😂😂 we una penda mwanaume wa aina gani?
Sas we mbona upo mtandaoniAnayeniheshimu,
Asiyelalamika,
Mwenye kupotezea mambo,
Ikiwezekana asiwe mtu wa mtandaoni