Ukikataliwa Pm, hasira usilete Jukwaani

Ukikataliwa Pm, hasira usilete Jukwaani

Naona hii tabia imeota mizizi sasa.

Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.

Usidanganyike na Profile pic yangu.

Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.

Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.

Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.

Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.

Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Dada embu mtangaze tumfungulie mashitaka ya kosa la jinai huyu kibaka.
 
Ni wewe 😹
Hapana bali ni kipenzi chetu cha dhati mwamba Imam Hussain ibn Ali AS mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.

Mcheki hapo Chini mwamba akivuka Mto Euphrates kwenye harakati zake za kuulinda uislamu.

ashura-poster-warriors-brave-men-army-imam-hossein-green-clothes_800913-140.jpg
ashura-poster-warriors-brave-men-army-imam-hossein-green-clothes_800913-155.jpg

ashura-day-imam-hussain-s-tent_800913-143.jpg

ashura-poster-warriors-brave-men-army-imam-hossein-green-clothes_800913-129.jpg

Monetary doctor Vishu Mtata adriz Mufti kuku The Infinity
 
Hapana bali ni kipenzi chetu cha dhati mwamba Imam Hussain ibn Ali AS mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.

Mcheki hapo Chini mwamba akivuka Mto Euphrates kwenye harakati zake za kuulinda uislamu.

View attachment 3425834View attachment 3425835
View attachment 3425836
View attachment 3425837

Kipenzi chetu Hussain Ali akiutetea 🥺 💔
 
Nakuchukia wewe
 
Naona hii tabia imeota mizizi sasa.

Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.

Usidanganyike na Profile pic yangu.

Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.

Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.

Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.

Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.

Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Humu mpo seriasi kabisa unatongoza mtu usiyemjua?
 
Nani alimpiga picha?
Hizi picha ni za kweli kabisa. Allah alikuwa anawatokea ndotoni na kwenye maono maimamu nakuwapa picha ama taswira nao wakawa wanazihifadhi na kukabidhi kwa jopo la maulana vizazi na vizazi.

Hapo Chini ni tukio la huzuni Sana. Imam wetu kipenzi Hussain ibn Ali akimuaga kwa mara ya mwisho mke wake kipenzi Rubab Imra Al -Qais mama ya Ali Al-Sajjad na Ali Al-Akbar
Zuljanah kushoto akiangalia Kwa huzuni Sana.

Screenshot_2025-07-15-22-15-28-35_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg

Dabil Wakilli adriz Mufti kuku The Infinity Drone Camera Vishu Mtata Intelligent businessman
 
Hizi picha ni za kweli kabisa. Allah alikuwa anawatokea ndotoni na kwenye maono maimamu nakuwapa picha ama taswira nao wakawa wanazihifadhi na kukabidhi kwa jopo la maulana vizazi na vizazi.

Hapo Chini ni tukio la huzuni Sana. Imam wetu kipenzi Hussain ibn Ali akimuaga kwa mara ya mwisho mke wake kipenzi Rubab Imra Al -Qais mama ya Ali Al-Sajjad na Ali Al-Akbar
Zuljanah kulia akiangalia Kwa huzuni Sana.

View attachment 3426311

Dabil Wakilli adriz Mufti kuku The Infinity Drone Camera Vishu Mtata Intelligent businessman
Reply tayari
 
Back
Top Bottom