dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 3,736
- 9,993
Hata wewe ndugu yangu ni wa kunifanyia hivi, 😅😅Kumradhi! Kuna Changamoto Kidogo
Hata wewe ndugu yangu ni wa kunifanyia hivi, 😅😅Kumradhi! Kuna Changamoto Kidogo
Wewe hapo na id yako mpya😂Hapana kabisa we mtaje kwa code tu 😂😂
Shughulikia mkuu ndugu yetu ana mke kwenye jukwaa....Shem akiiona anaweza kulia😂😂😂Kumradhi! Kuna Changamoto Kidogo
Poa dah kitambo, kumbe upo Mama watoto!Maaambo
Nipo,ila Nina masikitiko kidogoPoa dah kitambo, kumbe upo Mama watoto!
Haukuambiwa dar Kuna kila kitu 😂😂😂😂😂😂 sawa mkuu sema yule yupo mkoa pia, kuna uzi alikuwa akilalama siafu huwa wanawavamia usiku na mwanae, au huko daaslam kuna siafu?
Id ipi iyooo 😂Wewe hapo na id yako mpya😂
Samahani Nimepost bahat mbaya hii simu inamatizoHata wewe ndugu yangu ni wa kunifanyia hivi, 😅😅
Id yako halafu unaniuliza tena mimi pia kuna huyu min_me ni msumbufu hakuna mfanoId ipi iyooo 😂
Ya nini tena!Nipo,ila Nina masikitiko kidogo
UmenikataaYa nini tena!
Duh sawa bhana endelea kupambania kombe.Haukuambiwa dar Kuna kila kitu 😂😂😂
Processing…Shughulikia mkuu ndugu yetu ana mke kwenye jukwaa....Shem akiiona anaweza kulia😂😂😂
Ishi na mtoto huyo mbona majonzi mengiDuh sawa bhana endelea kupambania kombe.
KabisaHuyo mwamba atakua anauchungulia huu uzi kwa hofu kuu, si ajabu zile dislike zake kaenda zifuta zote...
Ila mambo ya PM yaishiege hukohuko, si ajabu huko hamkujibizana vizuri.