Ukikataliwa Pm, hasira usilete Jukwaani

Ukikataliwa Pm, hasira usilete Jukwaani

Nilisahau kaka hapa na google hospitali ya kupandikiza nywele ili nami nifunge rasta 😅😅
D2191337-4B14-45CD-86B2-A902CC2856AD.png
 
Naona hii tabia imeota mizizi sasa.

Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.

Usidanganyike na Profile pic yangu.

Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.

Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.

Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.

Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.

Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Na wewe punguza hasira , kama mtu umemkataa na akaja kudis post zako na wewe ukae kimya
 
Naona hii tabia imeota mizizi sasa.

Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.

Usidanganyike na Profile pic yangu.

Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.

Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.

Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.

Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.

Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Hivo walio dis like wote wametia nia ila mjumbe wa kamati kuu kawakata..?
 
Back
Top Bottom