Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,779
- 14,303
- Thread starter
- #21
Safi sana mkuu! Yaani unawaleta kwenye utengamano wako wa kiraia ili uwaachie Superiority yao uondoke na amani yako. Polisi wako simple sana ukiwajua wanavyocheza kwenye zone yao ya kazi na weakness na strength zao.Yaani hii mkuu ni kila Kitu! Shule! Lecture! Kifupi ni classic lesson! Ahsante sana.
I binafsi napenda sana kucheza na akili zao! Na Mara zote huwa nawin!
Kuna siku nlikuwa namrudisha Bi Mkubwa Ar na chombo chake, basi zile road block na chemli, nikifika tu, nasimamisha gari, nashuka fasta kabla hata kuambiwa, fasta nasalimia kabla hawajaanza! Huwa nawaambia: WAKUU WA KAZI HESHIMA ZENU!
Wanaitikia afu siwapi gap! POLENI SANA NA KAZI HII NYETI! Wanazidi kutabasamu!
Wakati wanazunguuka kuichungulia gari... Nawapa nyingine WAKUU MUNGU AWABARIKI SANA, BILA YA NYINYI SAA HIZI TUSINGEWEZA KUENDESHA!
Yaani Hapo tuna kuwa marafiki!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hizo phrase zako hawachomoi maana tayari unakuwa umeingia more willingly and smoothly kwenye conversation nao... They all need that.
Mimi kuna mmoja alishawai hadi kunisukuma baada ya kamkebe(kagari) kangu kuzima ghafla barabarani... Nilimuwin kirahisi sana na akawa mwanangu nikawa naenda hadi kupiga soka barracks kwao.
Easy as that!
Sent using Jamii Forums mobile app