Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
543
1,839
Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na Mali zao kinageuka na kuwa upanga mkali, tena usio na huruma kwa raia

Polisi wengi wa Tanzania ni binadamu wakatili sana, wananjaa kali, wivu wa kimaendeleo kwa raia, bila kusahau wengi wao ni mbumbumbu na bongo lala, walioshindwa shule na biashara hivyo wakaamua kuukimbilia upolisi ambako huko wamejitwika ubabe kutokana na nguvu kubwa waliyopewa na serikali ovu ya ccm ambayo imekuwa ikiwatumia kutekeleza unyama juu ya raia wenye itikadi tofauti na zile za chama chao.

Hatuwezi kukwepa kukutana na polisi katika maisha yetu ya kila siku na kuna wakati nilazima tushirikiane nao ili jamii iwe katika mstari mnyoofu, lakini kamwe usimfanye askari polisi wa Tz kuwa rafiki yako, wala usitengeneze ushkaji na polisi, kataa kabisa kuwa na mahusiano ya aina yoyote yasiyo ya kikazi baina yako na polisi, hao ni Viumbe wenye tamaa na udumavu wa akili, kwao bundiki ndio suluhisho la mizozo yao na bahati mbaya hawawajibishwi ipasavyo, NARUDIA jiwekeni mbali na polisi, na hata akija kama mpangaji katika nyumba uliyopanga wewe hama, na mshkaji wako akiwa polisi mkatae mazima, dada yako au mwanao akitaka kuolewa na polisi vunja uchumba .

#POLISI SIO RAFIKI, POLISI SIO NDUGU, MKATAE POLISI
 
Naunga hoja hawa jamaa miyeyusho sana nakumbuka kuna polis alikuwa ana force mazoea kwenye mishe zangu mara nipe elfu10 mara 20 mwisho wa siku mimi sipati maslai yoyote wanatumia upolisi kama fimbo kutuchapia nilimpiga chini akaanza kuniletea visaa ila nilimmudu
 
Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na Mali zao kinageuka na kuwa upanga mkali, tena usio na huruma kwa raia

Polisi wengi wa Tanzania ni binadamu wakatili sana, wananjaa kali, wivu wa kimaendeleo kwa raia, bila kusahau wengi wao ni mbumbumbu na bongo lala, walioshindwa shule na biashara hivyo wakaamua kuukimbilia upolisi ambako huko wamejitwika ubabe kutokana na nguvu kubwa waliyopewa na serikali ovu ya ccm ambayo imekuwa ikiwatumia kutekeleza unyama juu ya raia wenye itikadi tofauti na zile za chama chao.

Hatuwezi kukwepa kukutana na polisi katika maisha yetu ya kila siku na kuna wakati nilazima tushirikiane nao ili jamii iwe katika mstari mnyoofu, lakini kamwe usimfanye askari polisi wa Tz kuwa rafiki yako, wala usitengeneze ushkaji na polisi, kataa kabisa kuwa na mahusiano ya aina yoyote yasiyo ya kikazi baina yako na polisi, hao ni Viumbe wenye tamaa na udumavu wa akili, kwao bundiki ndio suluhisho la mizozo yao na bahati mbaya hawawajibishwi ipasavyo, NARUDIA jiwekeni mbali na polisi, na hata akija kama mpangaji katika nyumba uliyopanga wewe hama, na mshkaji wako akiwa polisi mkatae mazima, dada yako au mwanao akitaka kuolewa na polisi vunja uchumba .

#POLISI SIO RAFIKI, POLISI SIO NDUGU, MKATAE POLISI
Hao ndio majambazi, waonevu, wanafiki, wivu, wapumbavu, waendekeza njaa, wanaongoza kwa rushwa, pia ndio watu wenye IQ ndogo kuliko wati wote Tanzania, ni malofa na mapumbavu sana.
 
Naunga hoja,niliwahi kuwa mtendaji kata kwa muda,likatokea tukio polisi wakaja kutuliza na kuondoka na watuhumiwa sasa polisi mmoja akasema nipe namba yako nikamuuliza yanini,polisi akasema nataka uwe unanishirikisha matukio ya hapa kijijini,nikauliza tena matukio kama yapi,akaanza kujikanyaga kanyaga.

Kiufupi lengo lake likuwa nikunifnya chawa wake niwasaliti wanakijiji wangu kwa kuwa nalipoti matukio ya aneo langu.polisi hawafai kabisa popote walipo
 
Tumbo la rushwa
pic%2Bsiasa.gif
 
Hao ndio majambazi, waonevu, wanafiki, wivu, wapumbavu, waendekeza njaa, wanaongoza kwa rushwa, pia ndio watu wenye IQ ndogo kuliko wati wote Tanzania, ni malofa na mapumbavu sana.
Nafikiri kuna mstari mdogo sana unao watenganisha polisi wa bongo na IQ ndogo, hawa watu niwajinga sana, ipo siku nitashusha uzi kuhusu upuuzi wa hawa watu, pumbavu kabisa
 
Ni juzi tu kuna mwana ni derev bajaj alikamatwa na ocd kufik kituon ktk majibizano yule ocd alimpiga kibao mwana mpak alipat maruerue ila uzur mwana hakua mnyonge dlimrukia ocd na kupiga utosi na kuanguka nae chini kuna polisi wengin wanaingilia kati kuamua ugomv ocd amepanic anatak mwana apelekwe mahakaman mkuu wa kituo akaingilia kati na kumlaumu ocd kwa kujichukulia sheria mkononi.
Kuanzia mda ule heshima ilipatikan kwa kila mmoja kumuheshim mwenzake.
moral ni kwamba hupaswi kuwa mnyonge na kuogopa polisi ata kama ana chego gani.
 
Ni juzi tu kuna mwana ni derev bajaj alikamatwa na ocd kufik kituon ktk majibizano yule ocd alimpiga kibao mwana mpak alipat maruerue ila uzur mwana hakua mnyonge dlimrukia ocd na kupiga utosi na kuanguka nae chini kuna polisi wengin wanaingilia kati kuamua ugomv ocd amepanic anatak mwana apelekwe mahakaman mkuu wa kituo akaingilia kati na kumlaumu ocd kwa kujichukulia sheria mkononi.
Kuanzia mda ule heshima ilipatikan kwa kila mmoja kumuheshim mwenzake moral ni kwamba hupaswi kuwa mnyonge na kuogopa polisi ata kama ana chego gani.
Kama ni kweli Huyo bajaji alikuwa na bahati lakini katika scnerio nyingi za hivyo, raia wengi wameuawa kwa kujaribu tu kubishana na hawa mbumbumbu kwa maneno matupu
 
Polisi hawezi kutoka kwenye kituo chake cha kazi akaja kumfuata raia bila sababu. Binadamu ndiye kiumbe hatari na kamwe usimwamini.
Uko sahihi lakini utekelezaji wa majukumu yao umegubikwa na matukio mengi ya uonevu na mauji, cha msingi polisi mweke mbali katika cycle yako ya maisha, kutana nae pale inapojitajika kufanya hivyo, baada ya hapo jikatae, hawafai
 
Back
Top Bottom