Ukiijua hii Saikolojia na tabia ya Askari Polisi, hawatakusumbua sana

Leo nimemvimbia mmoja kwenye mwendokasi.
Natoa simu naangalia picha asinivamie nimempiga picha.
Oh nipe simu nikague,nkamuuliza UNASEMAAAAA?
akaanza kuwaka.
Nkamwakia na gwanda zake.
haha uwa wanajishtukia sana hawa jamaa me kuna trafic walikuwa wamesimamisha bus wakaona nachezea simu, walinivamia eti nifute picha niliyowapiga hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hii mkuu ni kila Kitu! Shule! Lecture! Kifupi ni classic lesson! Ahsante sana.
I binafsi napenda sana kucheza na akili zao! Na Mara zote huwa nawin!

Kuna siku nlikuwa namrudisha Bi Mkubwa Ar na chombo chake, basi zile road block na chemli, nikifika tu, nasimamisha gari, nashuka fasta kabla hata kuambiwa, fasta nasalimia kabla hawajaanza! Huwa nawaambia: WAKUU WA KAZI HESHIMA ZENU!

Wanaitikia afu siwapi gap! POLENI SANA NA KAZI HII NYETI! Wanazidi kutabasamu!

Wakati wanazunguuka kuichungulia gari... Nawapa nyingine WAKUU MUNGU AWABARIKI SANA, BILA YA NYINYI SAA HIZI TUSINGEWEZA KUENDESHA!

Yaani Hapo tuna kuwa marafiki!

Sent using Jamii Forums mobile app
Humble African

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimemvimbia mmoja kwenye mwendokasi.
Natoa simu naangalia picha asinivamie nimempiga picha.
Oh nipe simu nikague,nkamuuliza UNASEMAAAAA?
akaanza kuwaka.
Nkamwakia na gwanda zake.
HONGERA SANA... ENDELEA HIVO HIVO KUWAVIMBIA!
 
Yule wa Dodoma hata ukiwa humble akishona camera tu anatafuta misifa ya kiporipori,kwa kifupi ni mporipori tu KOVA ndo alikuwa mtoto wa mjini.
 
Nikupe tu taarifa mtoa maada,askari wa jeshi lolote ktk hii nchi ya viwanda kitu cha kwanza anacho aminishwa ktk mafunzo yao ni kujiona yeye bora(superior) kuliko raia wa kawaida.

imesomeka!!
 
kwa hiyo hata kama akikuchukulia mke wako unakuwa mpole tu..acha uongo mbona raia wengi tu wanawashtaki polisi na hao polisi wanafungwa?... nimeshaona sana hiyo
Ina angalika na uzito wa kosa mkuu makosa madogo madogo huwaga wanashitakiwa kipolisi(kijeshi).Ukiona polisi kafanya kosa then akapelekwa mahakamani jua alitenda kosa kubwa sana,Askari amepewa difensi kubwa sana zidi ya kushitakiwa mbele ya mahakama.

imesomeka!!
 
  • Thanks
Reactions: a45
Ina angalika na uzito wa kosa mkuu makosa madogo madogo huwaga wanashitakiwa kipolisi(kijeshi).Ukiona polisi kafanya kosa then akapelekwa mahakamani jua alitenda kosa kubwa sana,Askari amepewa difensi kubwa sana zidi ya kushitakiwa mbele ya mahakama.

imesomeka!!
Kwa mfano akibaka.... Kwa hiyo ukitaka kumkomesha polisi unamseti tu kwa mwanafunzi mkaliiiii hapo jela anaiona bila tabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom