ukihisii mumeo kagonga nje omba game

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,742
2,000
we kama mke una halali ya kuomba michezo unayotaka
so kama ukiwa mwanandoa mwenzangu unahisi mumeo katoka nje na we nenda mwombe mungu akuonyeshe macho ya ndani sec nenda omba tunda la roho hiyo ni haki yako tena jitayarishe hata sita utajua tu
polen wanandoa

ndoa si shida ni baraka kwa MUNGU
 

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
0
Ahhaaaaaaaa kumbeeee! duh! niliwahi siku moja kuulizwa baada ya game mbona umetema kiduchu halafu vyepesiiiiii ikafatia na swali " au umechakachua kitaa??" :bowl:
 

RR

JF-Expert Member
Mar 17, 2007
6,917
2,000
Hata kama amelewa chakari utaomba gemu (msinunukuu vibaya)...
 

RR

JF-Expert Member
Mar 17, 2007
6,917
2,000
Plan B?

Ukigonga nje rudi home ukizuga umelewa chakari..........:tape::tape::tape:

Thats out of context....and its actually post deformation....and am cautioning you....:tape::tape::tape:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom