ukihisii mumeo kagonga nje omba game

Plan B?

Ukigonga nje rudi home ukizuga umelewa chakari..........:tape::tape::tape:

kwani ukilewa chakari na nanihiii nae analewa? nikionaga hivyo wewe jilalie mie ntaendelea, uone kama hujajinyanyua kuni support.
 
Mh wengine wataalamu wakija wanajifanya hoi wagonjwa na hawajalewa hata kidogo ila kulalamika na dawa wanakunywa...
 
kwani ukilewa chakari na nanihiii nae analewa? nikionaga hivyo wewe jilalie mie ntaendelea, uone kama hujajinyanyua kuni support.

Kwani nilikuwa nakuambia wewe? Kiherehere.......:doh::doh::doh:
 
kwani ukilewa chakari na nanihiii nae analewa? nikionaga hivyo wewe jilalie mie ntaendelea, uone kama hujajinyanyua kuni support.

Kumbuka uchakachuzi umepita mahala hapo kama nusu saa iliyopita....
 
kwani ukilewa chakari na nanihiii nae analewa? nikionaga hivyo wewe jilalie mie ntaendelea, uone kama hujajinyanyua kuni support.

Mmmmmh,kwani Nyamayao huwezi vumilia jamaa pombe imtoke ndipo muendelee????
Katika hali hiyoya ulevi chakari,Inahitaji uwe mjuzi sana katika kuamsha hisia ili mtarimbo uweze kufanya kazi yake!hopefully, una hicho kipaji!!!:smile:
 
Ahhaaaaaaaa kumbeeee! duh! niliwahi siku moja kuulizwa baada ya game mbona umetema kiduchu halafu vyepesiiiiii ikafatia na swali " au umechakachua kitaa??" :bowl:

heeee ulimwaga nje? maana ndani hawezi kuona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom