BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,735
- 5,003
we kama mke una halali ya kuomba michezo unayotaka
so kama ukiwa mwanandoa mwenzangu unahisi mumeo katoka nje na we nenda mwombe mungu akuonyeshe macho ya ndani sec nenda omba tunda la roho hiyo ni haki yako tena jitayarishe hata sita utajua tu
polen wanandoa
ndoa si shida ni baraka kwa MUNGU