ukihisii mumeo kagonga nje omba game

Nipo Ndugu.....naona leo upo kimaslai zaidi......orait orait tutazipitia minutes kesho kuweka the way forward...

We tuna mpango wa kukufukuza kwenye chama...tabia yako ya ukabaila na ubeberu haivumiliki tena!
 
We tuna mpango wa kukufukuza kwenye chama...tabia yako ya ukabaila na ubeberu haivumiliki tena!

Hivi wewe na baba gift (abadilishe jina huyu jamaa bana) mmejianzishia chama chenu? APPT maendeleo?
 
Duh na kwanini acahakachue nje wakati mie nampa bila kipimo:smile:
wish to see U....! Nahisi kama upo A-town....!

kweli mpwa, quality zingine zimekaa ki - Dovutwa
Yupi? Yule mchakachuaji? Mimi simo.....!

kwani ukilewa chakari na nanihiii nae analewa? nikionaga hivyo wewe jilalie mie ntaendelea, uone kama hujajinyanyua kuni support.
Wewe kiboko.....!

Kwani nilikuwa nakuambia wewe? Kiherehere.......:doh::doh::doh:
Kapewa mimba? Au ni HIV+?

Kwa hiyo na sie tuwe tunaangalia hizo QUANTITY vs QUALITY?
Ndio maana yake....!

we nawe una maziwa? utakuwa umebakiwa na tumaji maji tu.....
................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom