Mlimani City Maji Ni bei rahisi Mkuu.Kwa mfano Kilimanjaro 1.5l wanauza sh 900. Wakati huku mtaani tunalanguliwa 1500Nakumbuka 2011 maji ya uhai ya 500 walikuwa wanauza 1500
Sijui alimaanisha nn huyu mtoa post
Nakumatt Pale maji Kilimanjaro ni 900 kwa ujazo wa Lita moja na nusuKuna baadhi ya vitu huku mtaani bei iko juu kidogo kuliko mlimani city. Mfano kuna maji ya kunywa ( brand fulani) huku mtaani 1.5L ni Tsh 1500, pale mlimani city ni sh 800 - 1200
dah kweli aseee,mkuu juzi meingia mwaka mpya na wadogo zang sasa wakawa wanazitaka ase nkasema kwanza tuulize bei,nikaambiwa zinaanzia 5K duh,nkawashika mkono nkasema tutanunueni za nje....sio kwa hela ile na ice cream kidgo vle,lada ntajarbu maji siku moja mna nvoingia hat kukanyaga nakumatt na game nliogopa sana asee.Endeleaga na huduma za kibenk tu, hizo ice cream si bora ukakate kilo ya nyama au kibua ulie ugali
soma vizur mkuu,ati ni chupa moja ndo bei rahis so watu hununua izooUku kitaa bei za maji maduka ya jumla mbona hizo hizo au mnaenda mlimani city kununua chupa moja ya maji?
Hahahahh, kweli kabisa ndugu.Ungeambatanisha na picha ingekuwa vizuri, maana kuna wengine hatujawahi kufika Mlimani City.
Inawezekana nakuzidi kwa sababu hunijui unaweza kusema hivyo. Nchi ambayo sijafika ni Afghanistani tu.
Tatizo na na wengine mapenzi yenu mnaenda kuonyeshea mlimani city... Wengine basi anatembea kwa madaa kama yuko kwenye umiss... mkimwangalia ni mtt mdogo anajiweka kama superstar
Nilitamani nikamchape vibao yule dada...
Kuna baadhi ya vitu huku mtaani bei iko juu kidogo kuliko mlimani city. Mfano kuna maji ya kunywa ( brand fulani) huku mtaani 1.5L ni Tsh 1500, pale mlimani city ni sh 800 - 1200
ipo wapi hii!
Sasa unatoka tandika mpk mlimani city kununua maji chupa moja?soma vizur mkuu,ati ni chupa moja ndo bei rahis so watu hununua izoo
Huwa nawangaliaga mule watu... Wanajifanya wanahela sana.... Halafu wana nata utafikiri wao malikia.... Wakitoka hapo anaenda kupanda basi, bodaboda au bajaj kama mie tu.... Cvipendii yaani...