tejateja
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,619
- 969
Uchumi wako peke yako ukiwa mzuri afu wengine wote ukawa mbaya itakufaa nini wewe??Uchumi wa watanzania sio nzuri au uchumi wako binafsi ndio umeyumba?
Tatizo Tz, tofauti kati ya walionacha na wasionacho ni kubwa mnooooo.
Kunywa chai ya maziwa na mkate na jam na omelette ni luxury kwa watanzania tulio wengi bado.