Ukifika Mlimani City utadhani Watanzania wako katika uchumi wa juu kabisa au wa kati

Pia ukifika mlimani unaweza kusema wabongo wrote wanaongea kiinglish, yani zile you know, off course, my boyfriend so and so, I miss you zinakuwa kibao basis mimi huwa mabaki midomo wazi nikitoa macho tu!
Kwahiyo huwa unaenda kusikiliza watu pale..acha umbea!
 
Tatizo na na wengine mapenzi yenu mnaenda kuonyeshea mlimani city... Wengine basi anatembea kwa madaa kama yuko kwenye umiss... mkimwangalia ni mtt mdogo anajiweka kama superstar
Nilitamani nikamchape vibao yule dada...
 
Tatizo na na wengine mapenzi yenu mnaenda kuonyeshea mlimani city... Wengine basi anatembea kwa madaa kama yuko kwenye umiss... mkimwangalia ni mtt mdogo anajiweka kama superstar
Nilitamani nikamchape vibao yule dada...
Acha hizo ndugu! Mtu anatembea kwa maringo Yake Wewe unakwazika nini? Eti kumchapa makofi! Bongo mna mambo Kweli! Eti kumchapa makofi Mtoto Wa watu buree!
 
Vinakeraaa
Kama anakera ungemvalia ngozi Ya kondoo, ukamtongoza kwa maneno laini na kamba Kali halafu ndiyo unakwenda kumpa kichapo na ile fimbo asili Ya sir god.... Zaidi ya hapo utajitakia matatizo na polisi bureee
 
Kama anakera ungemvalia ngozi Ya kondoo, ukamtongoza kwa maneno laini na kamba Kali halafu ndiyo unakwenda kumpa kichapo na ile fimbo asili Ya sir god.... Zaidi ya hapo utajitakia matatizo na polisi bureee
Khaaa huo mda sina... Aisee
 
overdraft spending na wanaongea vizungu vingi mnooooo asee wapaite STRESS FREE ZONE
 
kwa hilo lisikutishee sana kwa tz tunaeneo la mlimanicity moja ..lakini kenya yapo matatu kama hayoo hata lile wa WEST GATE ....pia ethiopia yapo 8 Kama hayoo sudan kask yapo 4 kuuu likiwa lilee la AFRAA SHOP hiloo ukiingiaa unakwenda underground tatu chinii ....
ILAA TUNAJITAHIDII SANA WATZ ILAA SERIKALI IYONGEEZEE SEHEMU KAMA ILE HATA MWANZA AU ARUSHA
 
Moja ya sababu ambayo huwa inanipeleka Mlimani City ukiacha kwenda kununua baadhi ya vitu ambavyo madukani ni ghali zaidi kama Maji na vitu vidogo vidogo ni kwenda kupoteza mawazo kidogo kama kushangaa Watanzania wengi wanavyoigiza maisha yao. Lakini inafariji sana kwa muda mfupi. Pale Mlimani City, huwezi kumjua wa Temeke, Gongolamboto au Manzese Uswahilini kabisa. Wote utadhani wanakaa Masaki, Mikocheni au karibia wote kabisa ukiwatazama walivyovaa, wanavyotembea utadhani Taifa hili liko katika Uchumi wa Juu kabisa au kama si wa juu liko katika Uchumi wa Kati. Kumbe ni Usasa tu uliopo Mlimani City (Modernization) na si vinginevyo. Mnajua wale mliosoma nadharia ya Usasa (Modernization Theory). Mmmmmmh!!! Ahsante Mlimani City.

Ahsante sana kwa kuwa na Mlimani City, naomba watengeneze sehemu nyingi zaidi ili shida zetu tukazipoze hapo.
Wewe unasumbuliwa na ushamba na mihemko, tatizo hujawahi hata kuvuka boda uende nchi za watu uone watu wanavyotembelea MALLS tofauti tofauti,si hayo MAGODAUNI hapo mlimani. Na 85% wanaotembelea humo hawanunui chochote zaidi ya kzungukia TIGO/VODA SHOP kukusanya vipeperushi.


Globalization is a real discourse.
 
Ni kweli mlimani city ni bei rahisi vitu kuliko kitaa?
Sukari ukiingia Game una pata kwa 2100 mtaani 2500

Maji ya Kilimanjaro chupa kubwa unapata kwa 900 mtaani 1500, mafuta ya Nivea (Men) unapata kwa 5000 mtaani 7500

MacMohan unapata kwa 12000 mtaani Catalunya-25000, Bulls- Kaunta ya nje Wanauza 20,000 ndani 25000, Lachaz sinza inauzwa kwa 25K

Hii ni kwa baadhi tu ya bidhaa pale M-City ingawa kuna bidhaa zinauzwa bei kubwa pia hasa nguo, na bidhaa zinazotia ndani urembo
 
Hhhh hapo mlimani city wadada wengi huwa wanatoka katikati ya jiji hahaha
Kila mwanamke akiingia hapo ni lazima avae kimini ndio atajiona amevaa

Yaani ukikaa hapo kama mwanaume ni lazima utachans chipi kwa kudindisha maana wanawake hatujisitiri tuwapo hapo m cty cijui kwa nn

Umarekani mwingiiii

Na mange kawaletea vazi jipya la kugundisha maziwa na tape za box
 
Back
Top Bottom