Ukifika Mlimani City utadhani Watanzania wako katika uchumi wa juu kabisa au wa kati

Ila tuwe wakweli tu binafsi sijishauwi wala siringi ila hivi kwa mfano wao wakiact namna wanavyoigiza inakuathiri nini usiyefanya directly au indirectly sababu mambo mengine ninaona ni kujitafutia tu msongo wa mawazo as long as you are not offended let them live their fake life pengine nao ndio njia yao ya kuondolea stress and be happy
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Na mm Leo nmeingia mcity aisee . watu wanabonga kiinglish utafikiri RAIA wa kigeni. Mbaya zaidi nmekutana na mate wangu wa o level .. Kwa mnyaman buguruni kama humjui utafikiri ni mtoto wa Rugemalira wa escrow.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Na lugha hubadilika kabisa, ni mwendo wa kingereza..hahaha

Umeona eeeeeh kila mtu anaspiking eglishii
Ni hatareeeee.Hasa masista duu utasikia
"Yeaaaah" you knowww" wako Na vimini Na mbrazili kichwani. Sasa kama Wewe ndio suruali dume itabidi usindikize Na macho tu
 
Nimezoea genge letu kijijini. Shopping mlimani city?That is way beyond my league. Hivi nitaanza vipi, opulence in mlimani city makes me nervous. I will shop gengeni where I am at peace with myself.
 
Unawakuta wamama na wababa wakibusiana hadharani huku wananunua kitimoto iliyochinjwa miezi mitatu iliyopita
 
dah..! na ukienda na demu wako pale mlimani city kumfanyia shopping utaitwa babe hata mara 100, maana mabinti kwa kupenda kujionesha ni balaa,
Mtatembea huku kakuegemea bega.
 
Napenda viroja vya wapiga picha maeneo kama hayo, hua nainjoi sana na kupata mapozi yakusumbua wazee kijiweni
15876589_1149409641844765_3396123193197461504_n.jpg
 
Sure, nipo hapa mida hii, ni mahali panapokufanya ujihisi mtu mzito, usie na shida ndogo ndogo. Ni sehemu pekee ambayo sijawahi kubageni bei ya kitu chochote kile. Nalipa tu.
Hahaha umeongea ukweli.. Hakuna anayetaka kuonekana ametokea madogo kuinama....
 
Huwa nawangaliaga mule watu... Wanajifanya wanahela sana.... Halafu wana nata utafikiri wao malikia.... Wakitoka hapo anaenda kupanda basi, bodaboda au bajaj kama mie tu.... Cvipendii yaani...
Aaaa jamani imegeuka chuki tena... Usichukulie mambo serious kias hicho.. Utapata Stress buuuure
 
Kuna mjinga mmoja alikuwa anatoka mbagala kwenda mlimani city kujisaidia. ....hatari zaidi mabinti wa kitaa ukiwauliza wanasoma wapi wanajibu mlimani city hatari sana. ..
 
Sure, nipo hapa mida hii, ni mahali panapokufanya ujihisi mtu mzito, usie na shida ndogo ndogo. Ni sehemu pekee ambayo sijawahi kubageni bei ya kitu chochote kile. Nalipa tu.
Huko hata mswaki wa kawaida kabisa unaotengenezwa katika viwanda bubu vya wachina kwa kutumia chupa za kuokota, mteja yupo tayari kutoa Tsh 5000 kununua mswaki huo ambao bei yake halisi katika duka lililopo kule Tandale kwa Bi Nyau ni Tsh 500 tu!
 
Back
Top Bottom