Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

sasa wakuu mbona nchi itabakiwa na mafundi umeme tu labda.
Najua fundi bomba lazma aondoke.
Huyo naye hatabaki salama. Mkewe lazma atakuwa kama si mama lishe, basi muuza matunda barabarani au mama wa chapati au msusi au..... asha date na waliotajwa mara nyingi huko awali.
 
member wa JF
masecretary
wanafunzi
waalimu
madokta
wasio na ajira
omba omba
wakulima
wafanyabiashara
wachungaji
mapadri
mashehe
maaskofu
wabunge
madiwani
wakuu wa vijiji,kata,shina,wilaya adi mikoa na wasaidizi
wanajeshi,polisi,mgambo,walinzi
wachezaji na makocha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom