Inaweza kuwa sawa lkn kwa upande mwingine inaweza kuwa ni namna ya kutumia kifungu hicho vibaya kuhalalisha miujiza feki.Kansa ikimrudia mtu ndo easy assumption kuwa Katenda tena dhambi?
Seriously?
Hii umepiga chini ya mkanda. Eti nikafanyiwe naombi na Gwajima au Masanja Mkandamizaji🙄🙄🙄! Hawa wanaojiita manabii na Maaskofu uchwara wanawapiga sana watu wanaomtafuta Mungu.Mtu akienda kuombewa akaambiwa atoe kwanza pesa ndio aombewe, asikubali. Yesu hakuwalipisha pesa wagonjwa. Hata wanafunzi wake alipowapa mamlaka ya kupoza wagonjwa, aliwaambia amewapa mamlaka hayo bure hivyo watoe huduma hiyo bure. Sadaka tu ndio mtu anaweza kutoa, tena kwa hiari na moyo mkunjufu, sio kwa kulazimishwa.
Na wengi wamekuwa wakipuuzia hili,halafu magonjwa yanapowarudia wanaanza kusema mchungaji flani ni fake kwakuwa bado hajapona,wakati ameshasahau alishapona na akatoa na shukrani.Kizuri ni kuwa TB Joshua ukienda kwake kabla ya maombezi huwa anawatahadharisha mapema hili kabla ya maombezi...Kwa neema ya Mungu tumeiona tena siku ya leo tukiwa na uzima na nguvu ya kuingia katika jukwaa letu pendwa (JF), ili kupashana habari, kutiana moyo na kushauriana. Wakati sisi tunafurahia mada mbalimbali zinazoletwa humu, tusisahau kuna ndugu zetu, jamaa zetu na marafiki zetu wana huzuni kubwa kwakuwa wamelazwa hospitalini muda mrefu kutokana na magonjwa sugu au "yasiyosikia dawa" kama vile kansa, ukimwi, kisukari, magonjwa ya moyo, nk. Ni jukumu letu kutafuta namna ya kuwasaidia.
Watu wanaougua muda mrefu hupewa ushauri mwingi sana wa jinsi ya kujinasua kutoka katika magonjwa sugu. Wagonjwa wa aina hiyo mara nyingine hushauriwa waende kwa wahubiri, wachungaji, manabii au mitume wakaombewe. Huaminishwa kuwa wengi katika wale wanaoombewa hupokea uponyaji kwa njia ya muujiza tena bila kulipa gharama yoyote.
T.B. Joshua anafahamika sana ulimwenguni kutokana na maombezi anayoyafanya katika kanisa lake kubwa, lililoko Nigeria. Kwa wanaofuatilia habari za mhubiri huyo watakubaliana nami kuwa wameishasikia shuhuda za vipofu, viwete, viziwi na wenye magonjwa sugu wakipona baada ya kuombewa. Sio T.B. Joshua tu anayeombea wagonjwa, wapo wahubiri wengine Kenya, South Africa, Korea ya Kusini, USA nk wanaoombea wenye magonjwa mbalimbali.
Hao wote wanafuata nyayo za Yesu. Siku moja Yesu alipokuwa duniani alimponya mtu aliyekuwa mgonjwa sana kwa miaka 38. Alikuwa hawezi kuinuka kutoka kwenye godoro lake. Yesu alimponya kwa kumwambia tu, "inuka, umekuwa mzima, jitwike godoro lako uende." Akainuka, akaenda zake, mzima kabisa! Baadaye Yesu alimkuta huyo mtu hekaluni akamwambia: "Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi."(Yohana 5:14).
Je, una ndugu, jamaa au rafiki anayeteseka na magonjwa mabaya? Ametibiwa hospitali miaka mingi lakini imeshindikana? Sio vibaya ukimshauri aende akaombewe. Akikubali ushauri wako, akaamua kwenda kuombewa mahali popote - kwa T.B. Joshua au kwa mhubirii yeyote maarufu, mwambie akiombewa, akapona, ajihadhari sana asitende dhambi tena. Mtu akitenda dhambi baada ya kupona kwa muujiza, kuna uwezekano wa kurudiwa na ugonjwa uleule kwa viwango vya juu zaidi au kupatwa na jambo baya zaidi. Nawatakia watu wote maisha ya heri.
Umenena vemaNa wengi wamekuwa wakipuuzia hili,halafu magonjwa yanapowarudia wanaanza kusema mchungaji flani ni fake kwakuwa bado hajapona,wakati ameshasahau alishapona na akatoa na shukrani.Kizuri ni kuwa TB Joshua ukienda kwake kabla ya maombezi huwa anawatahadharisha mapema hili kabla ya maombezi...
Tb Joshua is an Agent of the devilNa wengi wamekuwa wakipuuzia hili,halafu magonjwa yanapowarudia wanaanza kusema mchungaji flani ni fake kwakuwa bado hajapona,wakati ameshasahau alishapona na akatoa na shukrani.Kizuri ni kuwa TB Joshua ukienda kwake kabla ya maombezi huwa anawatahadharisha mapema hili kabla ya maombezi...
Kwa neema ya Mungu tumeiona tena siku ya leo tukiwa na uzima na nguvu ya kuingia katika jukwaa letu pendwa (JF), ili kupashana habari, kutiana moyo na kushauriana. Wakati sisi tunafurahia mada mbalimbali zinazoletwa humu, tusisahau kuna ndugu zetu, jamaa zetu na marafiki zetu wana huzuni kubwa kwakuwa wamelazwa hospitalini muda mrefu kutokana na magonjwa sugu au "yasiyosikia dawa" kama vile kansa, ukimwi, kisukari, magonjwa ya moyo, nk. Ni jukumu letu kutafuta namna ya kuwasaidia.
Watu wanaougua muda mrefu hupewa ushauri mwingi sana wa jinsi ya kujinasua kutoka katika magonjwa sugu. Wagonjwa wa aina hiyo mara nyingine hushauriwa waende kwa wahubiri, wachungaji, manabii au mitume wakaombewe. Huaminishwa kuwa wengi katika wale wanaoombewa hupokea uponyaji kwa njia ya muujiza tena bila kulipa gharama yoyote.
T.B. Joshua anafahamika sana ulimwenguni kutokana na maombezi anayoyafanya katika kanisa lake kubwa, lililoko Nigeria. Kwa wanaofuatilia habari za mhubiri huyo watakubaliana nami kuwa wameishasikia shuhuda za vipofu, viwete, viziwi na wenye magonjwa sugu wakipona baada ya kuombewa. Sio T.B. Joshua tu anayeombea wagonjwa, wapo wahubiri wengine Kenya, South Africa, Korea ya Kusini, USA nk wanaoombea wenye magonjwa mbalimbali.
Hao wote wanafuata nyayo za Yesu. Siku moja Yesu alipokuwa duniani alimponya mtu aliyekuwa mgonjwa sana kwa miaka 38. Alikuwa hawezi kuinuka kutoka kwenye godoro lake. Yesu alimponya kwa kumwambia tu, "inuka, umekuwa mzima, jitwike godoro lako uende." Akainuka, akaenda zake, mzima kabisa! Baadaye Yesu alimkuta huyo mtu hekaluni akamwambia: "Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi."(Yohana 5:14).
Je, una ndugu, jamaa au rafiki anayeteseka na magonjwa mabaya? Ametibiwa hospitali miaka mingi lakini imeshindikana? Sio vibaya ukimshauri aende akaombewe. Akikubali ushauri wako, akaamua kwenda kuombewa mahali popote - kwa T.B. Joshua au kwa mhubirii yeyote maarufu, mwambie akiombewa, akapona, ajihadhari sana asitende dhambi tena. Mtu akitenda dhambi baada ya kupona kwa muujiza, kuna uwezekano wa kurudiwa na ugonjwa uleule kwa viwango vya juu zaidi au kupatwa na jambo baya zaidi. Nawatakia watu wote maisha ya heri.
Tb Joshua is an Agent of the devil.Nakushangaa uliekuja hapa kupigia kampeni jitu jizi na tapeli km Tb Joshua. Kwanza mahubiri yake yamejaa udhalilishaji akionyesha live wanawake wanaojifungua baada ya kupokea maombi yake. Anafanya km chambo ya kuwavuta watu kupitia matukio ya kutengenezwa na kupangwa wengi wavutike.
Lakini pia hata imani yake ni ya kutia shaka.Mara awafundishe watu kufanya maombi kutumia shanga,maji na stika yenye picha yake ndo maandiko yameagiza ivo? Kibaya zaidi anauza maji,shanga na stika km bidhaa.
Wajinga wengi wasiojua kutafakari maandiko wameamini na kuishia kupigwa pesa nyingi.Tb Joshua anatumia Nakushauri acha kupoteza muda na manabii wajanja wajanja km Prophet Bushiri,TB Joshua,Mwamposa,Gwajima, Suguye na wengineo utapoteza mda na pesa zako bureee.
Nani amekwambia nampigia debe T.B. Joshua? Point kuu ya thread hii ni kwamba ukiombewa (hata na shemasi au jirani yako) ukapona, usitende dhambi tena. Hilo ni Agizo la Yesu, sio la T.B. Joshua.Tb Joshua is an Agent of the devil.Nakushangaa uliekuja hapa kupigia kampeni jitu jizi na tapeli km Tb Joshua. Kwanza mahubiri yake yamejaa udhalilishaji akionyesha live wanawake wanaojifungua baada ya kupokea maombi yake. Anafanya km chambo ya kuwavuta watu kupitia matukio ya kutengenezwa na kupangwa wengi wavutike.
Lakini pia hata imani yake ni ya kutia shaka.Mara awafundishe watu kufanya maombi kutumia shanga,maji na stika yenye picha yake ndo maandiko yameagiza ivo? Kibaya zaidi anauza maji,shanga na stika km bidhaa.
Wajinga wengi wasiojua kutafakari maandiko wameamini na kuishia kupigwa pesa nyingi.Tb Joshua anatumia uchawi na ujanja ujanja katika kuwateka watu. Nakushauri acha kupoteza muda na manabii wajanja wajanja km Prophet Bushiri,TB Joshua,Mwamposa,Gwajima, Suguye na wengineo utapoteza mda na pesa zako bureee.
Heri yako hapo unapoamini penye uhakika wa kwenda Mbinguni...Tb Joshua is an Agent of the devil.Nakushangaa uliekuja hapa kupigia kampeni jitu jizi na tapeli km Tb Joshua. Kwanza mahubiri yake yamejaa udhalilishaji akionyesha live wanawake wanaojifungua baada ya kupokea maombi yake. Anafanya km chambo ya kuwavuta watu kupitia matukio ya kutengenezwa na kupangwa wengi wavutike.
Lakini pia hata imani yake ni ya kutia shaka.Mara awafundishe watu kufanya maombi kutumia shanga,maji na stika yenye picha yake ndo maandiko yameagiza ivo? Kibaya zaidi anauza maji,shanga na stika km bidhaa.
Wajinga wengi wasiojua kutafakari maandiko wameamini na kuishia kupigwa pesa nyingi.Tb Joshua anatumia uchawi na ujanja ujanja katika kuwateka watu. Nakushauri acha kupoteza muda na manabii wajanja wajanja km Prophet Bushiri,TB Joshua,Mw
Ahsante kama umezipenda hoja. Sidhani kama kichwa kina shida iwapo mtu atasoma(content)mwanzo hadi mwisho kama ulivyofanya wewe. Mtu akiishia kusoma tu kichwa ni wazi anaweza kutatizika.Nimependa hoja ulizozitoa ILA natatizika kidogo na jinsi kichwa cha habari kilivyokaa
Kansa ikimrudia mtu ndo easy assumption kuwa Katenda tena dhambi?
Seriously?