Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,634
- 697,916
Inajulikana pia kama Allegory of the cave katika mojawapo ya maandiko bora kabisa ya Plato kwenye chapisho la The republic
Akitumia lugha picha anaonesha Wafingwa wameketi pangoni huku wakiwa wamefungwa minyororo kwa nyuma kwenye nguzo, mlango ukiwa nyuma ya migongo yao na mbele yao ni kuta tupu za pango. Vivuli vya vitu vinavyopita nje vinavyoakisiwa na mwanga wa miali ya moto kwenye ukuta wa ndani wa pango ndio kitu wakionacho mbele yao. Kwa vile wafungwa hawajawahi kutoka nje ya pango tangu kuzaliwa, wanaamini vivuli hivyo ni vitu halisi
Sasa anatokea mtu anawafungua na kujaribu kuwaonesha kwamba kile walichozoeshwa kuoneshwa sio halisi bali ni vivuli tu, wao wanbisha kabisa na kumuona yule mtu ni muongo mkubwa...
Fumbo la Plato la Pango linaonyesha jinsi wahusika wanavyoweza kujikomboa kutoka katika giza la kiakili kupitia kuelimika na ushujaa wa kujaribu mawazo mapya.
BBC wamejaribu kuonesha uhalisia wa kilichokuwa nyuma ya nabii maarufu T.B . Joshua..japo kwa kuchelewa sana.. Nilitegemea tuwapongeze kwa manufuo hayo.. Fumbo la Plato kwenye pango
Kwa mshangao mkubwa BBC wamepata upinzani mkubwa kwenye hili hasa kutoka mataifa ya kiafrika
Kuna baadhi ya watu weusi wamefikia hatua ya kukufuru na kusema eti hili ni shambulio dhidi ya ukristo.. Haya ni matokeo ya kuabudu vivuli kuliko uhalisia..
Nitarejea
Katika fumbo "Pango", Plato anaelezea kundi la watu ambao wameishi kwa minyororo kwenye ukuta wa pango maisha yao yote, wakikabiliana na ukuta tupu. Watu hutazama vivuli vilivyoonyeshwa kwenye ukuta kutoka kwa vitu vinavyopita mbele ya moto nyuma yao na kutoa majina kwa vivuli hivi. Vivuli ni ukweli wa wafungwa, lakini sio uwakilishi sahihi wa ulimwengu wa kweli. Vivuli vinawakilisha kipande cha ukweli ambacho tunaweza kutambua kwa kawaida kupitia hisia zetu, wakati vitu vilivyo chini ya jua vinawakilisha aina za kweli za vitu ambavyo tunaweza tu kutambua kupitia akili. Kuna viwango vitatu vya juu: sayansi ya asili; hisabati, jiometri, na mantiki deductive; na nadharia ya maumbo.
Socrates anaeleza jinsi mwanafalsafa huyo alivyo kama mfungwa aliyeachiliwa kutoka pangoni na anakuja kuelewa kwamba vivuli vilivyo ukutani kwa kweli si chanzo cha moja kwa moja cha picha zinazoonekana. Mwanafalsafa analenga kuelewa na kutambua viwango vya juu vya ukweli. Hata hivyo, wafungwa wengine wa pango hilo hata hawataki kutoka katika gereza lao, kwa kuwa hawafahamu maisha bora zaidi.[1]
Socrates anaeleza kwamba istiari hii inaweza kuunganishwa na maandishi ya awali, yaani mlinganisho wa jua na mlinganisho wa mstari uliogawanyika.
Lakini zaidi imani za watu, imani hizi za kukopea toka ugenini.. Na watu bila ufahamu kamili wakafungwa kwenye nira za ufahamu wa kiimani na kuna kile wanachojaribu kufunuliwa ni upotoshaji mkubwa na mashambulizi dhidi ya imani wanajiamini
Kwa mtazamo wangu BBC wako sahihi sana.. Labda maswali ya kujiuliza ni haya..
Walikuwa wapi siku zote?
Kwanini walisubiri mpaka T.B.Joshua akafa?
Kwanini sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2869979