Mgalanjuka:nimecheka hadi basi,kuna bi.mdogo wa best ile kufika tu ufukweni na kuona wadada waliopo,kamwambia jamaa warudi home na ugomvi juu.nahisi alimuona jamaa anakodoa

![]()
Mmm! hii ukiwa na bi mdogo lazima akukamate unakodoa macho! noma